CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

Shadeeya nisaidie kuitafuta Migogoro fc na uniambie ni namba ngapi, si unajua tena macho yangu yameanza kusumbua uzee huu.
Tafadhali naomba msaada wako.
Mtani mbona mnatoa habari nusu nusu sasa nani ataamini hapo kwamba kweli hizo rank zimetolewa huo mwezi march?

Acheni kutubabaisha leteni link.
 
Wewe ni mungo wa kutupwa unafikiri sisi wote tuna akili za ki mbumbumbu fc, uki google Caf club football database yao waliyo i uptodate 22 March 2020 Simba kutoka Tanzania ni club inayoshika nafasi ya 263.Sasa endelea kuwadanganya mbumbumbu fc wenzako. Hakuna uptodate ya 27march iliyotolewa na caf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Ameshajua Mikia wenzie wanapenda kauli sukari.
 
Huna la kunifundisha katika ilo, izo data kila mwaka zina badilika kulingana na ushiriki wa klabu husika, mimi sio mbumbumbu kama wewe, wadanganye mbumbumbu wenzako.izo caf club ranking zipo wazi sikuzote na vigezo husika vimeambatanishwa na wana zi uptodate marakwamara.

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅

Inabidi tuanzishe Darasa la kuwaelewesha.
 
Lakini hata hivyo tumewaacha mbali
20200330_085501.jpg
20200330_085408.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom