1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Acha kabisa nlikuja kwa mbwembwe ktk uzi, ila baada ya kuona link nimekuwa mpoleNimeacha ndugu[emoji2]
Ha ha haAcha kabisa nlikuja kwa mbwembwe ktk uzi, ila baada ya kuona link nimekuwa mpole
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mwisho wao hapaMbona siioni yanga?
Tumaga na Clip ya huyo Mlalamishi kama ipo.Huu ukweli wa Aisha Manula umesababisha Haji Manara katukana na kuchukua sana hadi amewabatiza jina lingine la ajabu ajabu hivi hadi kulitamka naona ukakasi. "MNYER..."
Iko audio hafu nishashindwaga kupandisha audio humu. Ingekuwa video ningerusha sahzi tu. Anasema kweli wachezaji wao hawajielewi, wanaamshwaje alfajiri kwenda kuhojiwa na viredio uchwara halafu wanaongea maneno mazito ya kuikandamiza klabu!? Maneno yenyewe eti kisa Manula kasema Morrison alipiga free kick nzuri yenye skills za hali ya juuTumaga na Clip ya huyo Mlalamishi kama ipo.
Hamnazo yule. 🤣Iko audio hafu nishashindwaga kupandisha audio humu. Ingekuwa video ningerusha sahzi tu. Anasema kweli wachezaji wao hawajielewi, wanaamshwaje alfajiri kwenda kuhojiwa na viredio uchwara halafu wanaongea maneno mazito ya kuikandamiza klabu!? Maneno yenyewe eti kisa Manula kasema Morrison alipiga free kick nzuri yenye skills za hali ya juu