CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

Huu ukweli wa Aisha Manula umesababisha Haji Manara katukana na kuchukua sana hadi amewabatiza jina lingine la ajabu ajabu hivi hadi kulitamka naona ukakasi. "MNYER..."
Tumaga na Clip ya huyo Mlalamishi kama ipo.
 
Iko audio hafu nishashindwaga kupandisha audio humu. Ingekuwa video ningerusha sahzi tu. Anasema kweli wachezaji wao hawajielewi, wanaamshwaje alfajiri kwenda kuhojiwa na viredio uchwara halafu wanaongea maneno mazito ya kuikandamiza klabu!? Maneno yenyewe eti kisa Manula kasema Morrison alipiga free kick nzuri yenye skills za hali ya juu
 
Hamnazo yule. 🤣
 
Back
Top Bottom