Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nadhani hivyo viwango kapanga Mangungu, haiwezekani mfungwe na uto miaka 5 mfululizo halafu muwe juu ya nyuma mwiko.CAF wanapendelea haiwezekani Simba iwe nafasi ya 11.
Itakuwa tunahujumiwa tu simba timu kubwa sana Afrika.
Wanepunguza paint za mwaka mmoja nyuma yani zile za 2021 wanaanza kuhesabu point za kuanzia msimu wa 2022 mpk leoJamani simba alifika fainali shirikisho, akapanda point hadi 48, iweje awe na point 38!!!
Doumbia alicheza lini Simba SC michuano ya CAF?Kunya Kunya FC hawawezi kuwa nafasi ya 11
Kwa forward kama Dumbya lile linalokosa magoli yeye na kipa, kuna kitu hakiposawa CAF
Hapo lazima marefa wamehusika. Na hapo itakuwa tu ksbb ya lile goli la Mwalimu tulilokataliwa Zanzibar. Na lazima GSM anahusikaCAF wanapendelea haiwezekani Simba iwe nafasi ya 11.
Itakuwa tunahujumiwa tu simba timu kubwa sana Afrika.
Ningekuwa sikujufahamu ungeniokota lakini hapo shekhe wangu umefeli kacheze unakochezagaCAF wanapendelea haiwezekani Simba iwe nafasi ya 11.
Itakuwa tunahujumiwa tu simba timu kubwa sana Afrika.
Muache mwenyekiti wetu.
Mangungu tunamkubali na tutamlinda kwa nguvu zote dhidi ya hujma za wasiompenda.
olmo