CAF yatoa viwango vipya vya ubora wa klabu, Simba yaporomoka

CAF yatoa viwango vipya vya ubora wa klabu, Simba yaporomoka

Simba haijaporomoka, nafasi ya 10 amelingana pointi na simba kiuhalisia Simba ipo nafasi ya 10.
 
Nadhani hivyo viwango kapanga Mangungu, haiwezekani mfungwe na uto miaka 5 mfululizo halafu muwe juu ya nyuma mwiko.
Hauna akili.
Kwa hiyo huko kwenu, kipimo cha viwango, kinapimwa timu ikicheza na UTOPOLO?
 
Back
Top Bottom