R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,360 Reaction score 26,244 Aug 7, 2026 #21 Simba haijaporomoka, nafasi ya 10 amelingana pointi na simba kiuhalisia Simba ipo nafasi ya 10.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Aug 7, 2026 #22 MIXOLOGIST said: Kunya Kunya FC hawawezi kuwa nafasi ya 11 Kwa forward kama Dumbya lile linalokosa magoli yeye na kipa, kuna kitu hakiposawa CAF Click to expand... Kwani Dumbia amecheza mechi za aina ipi msimu tajwa?
MIXOLOGIST said: Kunya Kunya FC hawawezi kuwa nafasi ya 11 Kwa forward kama Dumbya lile linalokosa magoli yeye na kipa, kuna kitu hakiposawa CAF Click to expand... Kwani Dumbia amecheza mechi za aina ipi msimu tajwa?
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,160 Reaction score 7,702 Aug 7, 2026 #23 Kadhi Mkuu 1 said: Nadhani hivyo viwango kapanga Mangungu, haiwezekani mfungwe na uto miaka 5 mfululizo halafu muwe juu ya nyuma mwiko. Click to expand... Hauna akili. Kwa hiyo huko kwenu, kipimo cha viwango, kinapimwa timu ikicheza na UTOPOLO?
Kadhi Mkuu 1 said: Nadhani hivyo viwango kapanga Mangungu, haiwezekani mfungwe na uto miaka 5 mfululizo halafu muwe juu ya nyuma mwiko. Click to expand... Hauna akili. Kwa hiyo huko kwenu, kipimo cha viwango, kinapimwa timu ikicheza na UTOPOLO?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 8, 2026 #24 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 23,114 Reaction score 29,434 Aug 8, 2026 #25 Ghiti Milimo said: Hauna akili. Kwa hiyo huko kwenu, kipimo cha viwango, kinapimwa timu ikicheza na UTOPOLO? Click to expand... Acha makasiriko, YANGA BINGWA.
Ghiti Milimo said: Hauna akili. Kwa hiyo huko kwenu, kipimo cha viwango, kinapimwa timu ikicheza na UTOPOLO? Click to expand... Acha makasiriko, YANGA BINGWA.