CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
166395643_497018035012865_2311260412836059998_n.jpg
Habari ndiyo hiyo
 
NI wakati sahihi wa authorities za nchi kuwauliza yale makaratasi yasiyo na signature za verifier waliyapata wapi?
 
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetupilia mbali malalamiko ya klabu ya Al Merreikh kuhusu kufanyiwa hujuma na Simba SC juu ya vipimo vya Covid-19 kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wa kundi A, uliopigwa Machi 16, 2021 kwenye uwanja wa Mkapa.

simbb.png

Kabla ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliyopigwa uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam wachezaji nane (8) wa Al Merrikh waligundulika na kuwa na viashiria vya Virusi vya Corona hali iliyopelekea kukkosa kucheza kwenye mechi hiyo dhidi ya wenyeji Simba SC.

simb.png
 
Vpi ile Rufaa ya Simba dhidi ya El Merreikh. Kuhusu kuwachezesha wachezaji waliofungiwa.
 
African Sport taday

CAF has rejected Al Merreikh's complaint against Simba SC with regards to Covid 19 test results before their last CAFCL game.
According to CAF;

•Tests conducted before the match are the official results.

•Several Simba SC players and also CAF officials also tested positive for Covid-19.

•The laboratory that conducted the tests does not issue positive results certificates.

•The positive cases were communicated through established channels.
 
Siku za mwizi ni Arobaini! Bado kidogo tu ujanja ujanja wenu utajulikana hata kama katika hili mmepona!
 
Back
Top Bottom