Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Hivi Sakho na Mayele nani mfungaji bora?
Unazungumzia michuano gani. Sakho anatamba kimataifa sio michuano yenu na marefa wa michongoHivi Sakho na Mayele nani mfungaji bora?
Hivi waliitwa mbuzi au nyani?Tuweke rekodi vizuri.Hili Goal wacha mbuzi wetu walisema ni Offside kabisa.... Leo CAF wanasema ni Goal la Week? Huu si wendawazimu?
Wamenunuliwa....ina maana wao wanawabishiwa hawa wambuzi wetu? Inafikirisha sana. Kuna mambo siyaelewi kabisa. Je CAF nao wanaibeba Simba? Why? Lile goal wachambuzi karibia wote wamethibitisha kuwa ni offside.
View attachment 2153195
Duh, kuna wachungaji wa Ng'ombe wa Mayele wakiona hii watakasirika mno..!Mfungaji bora kwa bara la Afrika kwa wiki 2 mfululizo,sasa huyu kichaa anatambulika wapi?
Madhala ya kuwatambua wacha mbuzi wa ngumbaluDuniani kwote wamekubali ni goli halali,isipokuwa Tanzania ambako wachambuzi wake ni mbuzi wanarudia rudia makosa yaleyale kwa namna ileile. Tanzania ni kichwa cha mbuzi kichaa
Kwa mara ya kwanza ndiyo nilitambua kumbe Ally Kamwe naye ni mbambaishaji tu.
Hataa Mimi Huyoo dogo kanishangaza sana kwenye hili hawa jamaa ni made be matupuKwa mara ya kwanza ndiyo nilitambua kumbe Ally Kamwe naye ni mbambaishaji tu.