CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

Hili Goal wacha mbuzi wetu walisema ni Offside kabisa.... Leo CAF wanasema ni Goal la Week? Huu si wendawazimu?

Wamenunuliwa....ina maana wao wanawabishiwa hawa wambuzi wetu? Inafikirisha sana. Kuna mambo siyaelewi kabisa. Je CAF nao wanaibeba Simba? Why? Lile goal wachambuzi karibia wote wamethibitisha kuwa ni offside.

Screenshot_20220316-200714~2.png
 
Kitajulikana Simba tutaisapot lkn CAF wawe na umakini na kuweka usimamiz mzur wa sheria za mpira
 
Hili Goal wacha mbuzi wetu walisema ni Offside kabisa.... Leo CAF wanasema ni Goal la Week? Huu si wendawazimu?

Wamenunuliwa....ina maana wao wanawabishiwa hawa wambuzi wetu? Inafikirisha sana. Kuna mambo siyaelewi kabisa. Je CAF nao wanaibeba Simba? Why? Lile goal wachambuzi karibia wote wamethibitisha kuwa ni offside.
View attachment 2153195
Hivi waliitwa mbuzi au nyani?Tuweke rekodi vizuri.
 
Mfungaji bora kwa bara la Afrika kwa wiki 2 mfululizo,sasa huyu kichaa anatambulika wapi?
Duh, kuna wachungaji wa Ng'ombe wa Mayele wakiona hii watakasirika mno..!

Yaani unamuita Kichaa..!
 
Wacha Mbuzi wala rushwa huwa wanalisikiliza tumbo kwanza kabla ya kufungua vinywa vyao.
 
Ally kamwe na privadinyo ni wapenzi wa utopolo usisumbuke nao.

At least ally kamwe kidogo huwa anaficha hisia,lakini privadinyo ana roho ya kike sana,linapokuja suala la utopolo huwa analisapoti sana na kwa hili alitaka kuwafurahisha mabwana zake kule utopoloni.
Simba imrshawanyima pesa za kuisifia ujinga ila inaonesha kazi kwenye dimba.
Hatutegemei hawa wachambuzi maana wengi si rizki!
Kwa mara ya kwanza ndiyo nilitambua kumbe Ally Kamwe naye ni mbambaishaji tu.
 
Back
Top Bottom