Labda ni mzee utajuajemwakani malalamiko FC mechi 2 Chalo. Unarudi kigamboni. Hahahaaa acheni wanaoujua mpira waucheze. ACHA KUJIUMIZA KWA MAFANIKIO YA JIRANI. KUWA NA WIVU WA MAENDELEO.
UCHAWI NINI, Ni hiki ulichoandika! Halafu Ni Kijana mdogo Sasa, ukizeeka itakuwaje?
atakuwa manywele huyoo... ila huyu mdudu Sacko ni balaw jingine Africa!Hivi Sakho na Mayele nani mfungaji bora?
Na kwa bahati mbaya hao ndio wanaaminika kama wachambuzi wa mpira. Wapuuzi sana hawa jamaa hasa huyo OscarNB: kwa Yanga, Oscar Oscar , Allykamwe , Privaldinho na Wachambuzi was EATV ni goli la offside Kagere aliucheza mpira kwa kuuruka kwa CAFCC ni goli bora la wiki
Tanzania tutafika tumechoka
Ila wamasai Buana wamechaguachagua kangombe kasumbufusumbufu ndo wamempa Manywele mana kalikuwa kanakula mahindi ya watu sana!
Pita hapa ujionee bao la wiki financial services
Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki
Skill
Pace
Finish
100%
View attachment 2153000
Ng'ombe asiyeweza kuzalisha wakaona ngoja wampe😂😂😂Ila wamasai Buana wamechaguachagua kangombe kasumbufusumbufu ndo wamempa Manywele mana kalikuwa kanakula mahindi ya watu sana!
Kisakho kipo vizuri, ila Simba mna sifa sana ndiyo maana hatuwapendi😂😂Pita hapa ujionee bao la wiki financial services
Bwana tena mkuu?😂 mimi ni bibiHuyu ndo bwana Financial Services
Hamna, tuna deserve . Ila nyie sasa , hadi mzee Kikwete aliwahi kuwasema jinsi mnavyopoa uwanjani, hamna vibe nyieKisakho kipo vizuri, ila Simba mna sifa sana ndiyo maana hatuwapendi😂😂