CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

mwakani malalamiko FC mechi 2 Chalo. Unarudi kigamboni. Hahahaaa acheni wanaoujua mpira waucheze. ACHA KUJIUMIZA KWA MAFANIKIO YA JIRANI. KUWA NA WIVU WA MAENDELEO.

UCHAWI NINI, Ni hiki ulichoandika! Halafu Ni Kijana mdogo Sasa, ukizeeka itakuwaje?
Labda ni mzee utajuaje
 
Huyo oscar oscar na mdomo wake mkubwaa na mimacho kodo kuongea upuuzi sijui huwa wanalipwa? Kwanini usichambue kwa weledi. Yani huu ni ujinga kujiita mchambuzi wkt ni shabiki wa timu fulani unajulikana
 
Hivi walipo wachambuzi uchwara wakiongozwa na Oscar Oscar wanajisikiaje?
Watuombe msamaha hata Kama kweli lingekuwa goal la offside lakin haikuwa sahihi kulishikia bango kiasi kile ukizingatia Berkane ni wageni
 
Mbeleko Fc
haya kasaidie kulisha iyo six pack yenu

23012341-76C2-432E-B265-DF2B63D70AAE.jpeg
 
NB: kwa Yanga, Oscar Oscar , Allykamwe , Privaldinho na Wachambuzi was EATV ni goli la offside Kagere aliucheza mpira kwa kuuruka kwa CAFCC ni goli bora la wiki

Tanzania tutafika tumechoka
Na kwa bahati mbaya hao ndio wanaaminika kama wachambuzi wa mpira. Wapuuzi sana hawa jamaa hasa huyo Oscar
 
Oooh Berkane wanaenda kushtaki ooh goli la offside sasa yako wapi, simba inazidi kuwaprove wrong na kuwaunmask their true face hao wajiitao wachakondoo wakati hamna kitu, eti Oscar naye alitaka kuwa Rais wa TFF mtu ambaye hata offside hajui angewezaje kumanage mpira wa nchi hopeless kbs
 
WACHAMBUZI WAMEWACHA MAKALIO WAZI HALAFU WANASAKATA KIWASENZA. MBUZI
 
Back
Top Bottom