CAFCL Sasa ni utajiri wa kutupwa

CAFCL Sasa ni utajiri wa kutupwa

Mashabiki wa mpira mitihani sana.
Hizo ni pesa za wajanja, mashabiki haziwahusu hata nukta.
Zile za mwaka Juzi mmeziona?
Za mwaka jana mlionyeshwa?
Bado mmeziwa jezi kwa bei juu.
Hata Youn African ikawa no. 1 bado pesa ni zao wenyewe wajanja. Wajinga mtajazwa uwanjani baaasi
 
Furaha ya kuifunga simba mfululizo hadi ifike mara kumi inatosha, tukishinda CAF Champions league, hizo pesa wapewe wachezaji , viongozi na kujengwe uwanja!!

Sasa ni zamu yetu!!
 
Back
Top Bottom