CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

Why Mke WA spika apewe ukurugenzi?
Kwani yeye siyo Mtanzania kama Watanzania wengine. Kama ni mtanzania ana haki ya kazi yoyote kama ana sifa zinazotakiwa.
 
Swahiba hayo mambo ya Bahi yasubiri kidogo.

Kwa sasa tuko busy na mchakato wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

Maendeleo hayana vyama
 
swahiba mmefuta ngapi kwa wachina?

Swahiba tuombe kwanza kuutambua mkataba aliopotoshwa JPM, kisha tuutambue mkataba tunaosisitiza kwa nguvu zote na tabasamu kubwa kwamba ni mzuri

Maendeleo hayana vyama
Tanzania kwanza πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™
 
Achukuliwe hatua kama mwizi mwingine yoyote na asiachwe hata kama mr ni mtu anaejua kujipendekeza!
Tuone pia ukaguzi wa CAG kuhusu bunge kuwalipa wale COVID 19 fedha wasizostahili.
 
Ndungai hajawahi kuwa mzalendo wa nchi hii ni opportunist
 
Sitaki kuamini kwamba kila pesa inayokosekana na CAG imefisadiwa.

Maana sasa kila kona utasikia pesa zimeliwa....nadhani zipo zinazokosekana kwa uzembe wa kutunza hesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…