CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

O M G !
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Huyu jamaa ni fala sana. Ulevi wa madaraka umemfanya amekuwa punguani kabisa.
Nasikia Ndugai amesema 1mil ikikosa risiti kati ya 500mil siyo tatizo sana kisheria na wala siyo wizi. Amesistiza tu kuwa ni haki yake CAG kuhoji, lakini wananchi hawatakiwi kuona ni wizi.
 
Hii ni HOJA wala sio WI ZI,Wengi katika Waandishi wa habari ,Wananchi,Wabunge hawajui maana ya Hoja,Na kutofautisha MAONI na USHAURI unaotolewa na Mkaguzi.
WENGI HAWAJUI:Kama pangekuwa na wizi watu wangepelekwa POLISI na KUFUNGWA.
Hapo kwenye HALMASHAURI ni SIASA na Kiki Tu kwa wana SIASA.Kama pangekuwa na wizi wengi wangefungwa,Bahati mbaya wengi hawajui kuwa mambo ya Halmashauri ni SIASA tu!
Wananchi wengi hawajashtuka kuwa wizi upo kwenye WIZARA ,WENGI WANADANGANYWA kuwa kuna wizi HALMASHAURI,Lakini hoja zote za Halmashauri ni HOJA MOJA YA WIZARA!!!!
JAMBO HILI HAKUNA MBUNGE ANAEZA KULIZUNGUMZA!!!!
1.ALIYE LALA USIMUAMSHE
2.USIMFIMBUE KIPOFU
3.ALIYELALA USIMUAMSHE
Hii taarifa ya CAG,sehemu yenye wizi,huwa mashtka yanafunguliwa wala haisubiri taarifa ya CAG!!!!
 
huyu ameandika nini?
 
Ndugai anahusikaje na Bahi?
 
Achukuliwe hatua kama mwizi mwingine yoyote na asiachwe hata kama mr ni mtu anaejua kujipendekeza!
Tuone pia ukaguzi wa CAG kuhusu bunge kuwalipa wale COVID 19 fedha wasizostahili.
Utaacha Mzee Halima achanganyikiwe atamtunzaje mkewe?
 
Hizi position za ulaji hivi huwa zinawatembelea watu fulani tu.....mbona kuna vijana wengi wenye IQ kubwa sana lakini wanaachwa tu wanabebwa vilaza kisa mke wa bosi..
 
Hahahah

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa Rais ameshamwambia CAG asiwe na ndimi mbilimbili! Kwa hiyo anachokibali cha kulipua mabomu bila wasiwasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…