Design ya zoezi zima imeshakosewa.
1. Maswali ni mengi mno kiasi kwamba makarani huchukua muda mrefu kwenye kaya moja.
2. Watu hutoa taarifa za uongo kwa sababu wanahusisha zoezi na tozo Nimesikua mara kadhaa watu wakisema kuwa taarifa zinazokusanywa zitatumika kuanzisha tozo au kupandiaha tozo.
3. Hakukua na sababu ya kuchukua majina ya watu na namba za nida. Hii inaongeza ugumu wa zoezi lakini pia inafanya watu wengi wasitoe taarifa sahihi.
4. Mtiriko wa dodoso ni mbovu. Dodoso lina maswali mengi yanarudia kiana. LmUtadhani limeandaliwa na mtoto wa shule ya msingi
5. Makarani wanapita nyumba ziko empty, watu wako nakazini na hakuna taarifa