CAG akague hesabu za zoezi zima la Sensa…

Design ya zoezi zima imeshakosewa.
1. Maswali ni mengi mno kiasi kwamba makarani huchukua muda mrefu kwenye kaya moja.
2. Watu hutoa taarifa za uongo kwa sababu wanahusisha zoezi na tozo Nimesikua mara kadhaa watu wakisema kuwa taarifa zinazokusanywa zitatumika kuanzisha tozo au kupandiaha tozo.
3. Hakukua na sababu ya kuchukua majina ya watu na namba za nida. Hii inaongeza ugumu wa zoezi lakini pia inafanya watu wengi wasitoe taarifa sahihi.

4. Mtiriko wa dodoso ni mbovu. Dodoso lina maswali mengi yanarudia kiana. LmUtadhani limeandaliwa na mtoto wa shule ya msingi

5. Makarani wanapita nyumba ziko empty, watu wako nakazini na hakuna taarifa
 

Hongera lkn huenda ulikuwa na kaya chache sana....asilimia kubwa ya Watanzania hawajahesabiwa. Sidhani hata kama tumefikia hata milioni tano, sina hakika. Ngoja nitembelee website ya takwimu nione. HALI NI MBAYA SANA. TUMSAIDIE RAIS.
 
Ifike mahali tuache mihemko. Maisha ya mitandaoni si halisi kwa asilimia 100.
Yaani mkiona picha za viongozi tayari mnahitimisha kuwa makarani walishinda hapo hawakwenda sehemu nyingine duh!!!

Watu wanahesabiwa, nimekutana na watu wa kawaida kabisa wameshahesabiwa.

Kwangu hawajafika lakini nina hakika ndani ya siku hizi 7 karani atafika.

Hata hivyo asemavyo mtoa mada kuhusu ueledi na maadili ya baadhi ya makarani ni wa kuangaliwa.

Nadhani mchujo ulikuwa na walakini.
 
Huyo aliyejifungua ni mbunifu kwani alihitaji msaidizi binafsi wa kubeba pawabenki ya kishikwambi.
 
Mkuu mfano maswali gani ambayo yamejirudia tuyaone ,? Kuhusu watu kuwa makazini ni kuwa kuanzia jana zimefika fomu ambazo tunaziacha majumbani kwa mtu yoyote tunayemkuta ili akifika muhusika ajaze na sis makarani tunapitia asubuh, tunaacha na namba za simu ili kma hajaelewa aweze kutupigia.
 
Hujui unalolibwabwaja! Ulikosa nafasi ya kuwa mhesabuji
Pumbavu kabisa. Ndiyo maana hii nchi hatusongi mbele kwasababu ya watu kama nyie ambao mnadhani watu hutoa mawazo mbadala badala ya kukosa kitu fulani.
 
Hongera lkn huenda ulikuwa na kaya chache sana....asilimia kubwa ya Watanzania hawajahesabiwa. Sidhani hata kama tumefikia hata milioni tano, sina hakika. Ngoja nitembelee website ya takwimu nione. HALI NI MBAYA SANA. TUMSAIDIE RAIS.
Sawa mkuu, mimi nitaenda kusaidia kaya nyingine ambazo hazijahesabiwa asubuh hii
 
1. Mchakato wa kuwapata makarani uligubikwa na kujuanajuana bila kuangalia weledi na utashi wa makarani.
Haoa kijijini kwetu koo za mwenyekiti na katibu wa ccm tawi, mwenyekiti wa Kijiji, mtendaji kata na diwani ndiyo zinetia makarani.
 
Wacha unoko wewe, katika zoezi zima umeliona hilo tu la karani kujifungua?
 
Pumbavu kabisa. Ndiyo maana hii nchi hatusongi mbele kwasababu ya watu kama nyie ambao mnadhani watu hutoa mawazo mbadala badala ya kukosa kitu fulani.
Hasira za nini? Soma tena mabwabwaja yako uone ulivyo mpuuzi
 
....kibaya zaidi yaani makarani wanne wanaenda kwa mtu mmoja, Mkuu wa Wilaya Jokate Mwengelo, hivi kweli tupo serious???, na DC anacheka tu na kupiga nao picha na wakati mamilioni ya wananchi hawajahesabiwa???.
Fanya kazi ujipatie fedha badala ya kuendekeza majungu
 
Chawa on fleek
 
Mfano rahisi Mimi na familia yangu hatujahesabiwa Wala kumuona karani mtaani kwetu,tarehe 23 tulishinda nyumbani kwa minajili ya kuhesabiwa bila mafanikio, mm nashinda Job na mke wangu job tuttahesabiwa mda gani Tena? Labda wapite usiku. Nionavho zoei limekwama
 
Fanya kazi ujipatie fedha badala ya kuendekeza majungu
Watanzania wangelikuwa hawafanyi kazi tungelikuwa bado masikini wa kutupwa ila inauma kuona kuna watu waliopewa nafasi wanashindwa kuthamini jitihada zetu. Hapa hakuna majungu bro. Ni lazima tumsaidie Rais kwa namna yoyote ile.
 
Sasa hivi nasikia makarani wanaacha maswali kwenye kaya na baadae kuanza kukusanya zile questionnaires, hivi kwa mfumo huu hili zoezi tutafanikisha????. Watanzania ambao hawajui kusoma na kuandika tunawasaidiaje??? au ni funika kombe mwanaharamu apite???. Tuwe serious, chondechonde. Makarani acheni mzaha, lindeni viapo vyenu na kuweni waadilifu na wenye kujituma. Oneni uchungu wa fedha za watanzania wenzenu. Chapeni kazi. Kwa mfn. mimi nilipo, mtaani hapa tulipewa makarani wawili lakini hawapo na uongozi upo kimya tu...Juzi walisema kwamba, makarani wamekubaliana washirikiane mtaa mmoja baada ya mwingine hlf wakimaliza ndy watakuja na kwetu lkn baada ya kuchunguza, sasahv hata mtaa wa pili hawajamaliza.


Makarani wameanzisha kasumba ya kuongea na viongozi wa mtaa na kuomba UDHURU hlf zoezi haliendi. MHE. RAIS, SISI TUNAKUPENDA SANA. MWITE MTAKWIMU MKUU, AKUELEZE UKWELI JUU YA ZOEZI HILI NA BAADAE ONDOA HUYO, HATUFAI. PIA WAKUU WA WILAYA NA WASIMAMIZI WA SENSA NGAZI YA WILAYA WATAKAOSHINDWA KUSIMAMIA ZOEZI HILI KWA UMAKINI,,, TAFADHALI WAONDOE. WASITUKWAMISHE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…