CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

shida iko wap kukopa kutimiza lengo lenu lile? kwanini mnataka kuapply serikalini ila sio kwenye chama chenu
Hii thread inazungumzia maendeleo ya CDM? Kwann unarukaruka kama maharage ya nyambiti??
 
Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Biashara ya ndege si ya kuleta faida leo au kesho ni baada ya miaka mingi.Sasa unaponunua kwa fedha tasilimu inakupasa kuondoa vipaumebele vingine kama ajira mpya
 
Biashara ya ndege si ya kuleta faida leo au kesho ni baada ya miaka mingi.Sasa unaponunua kwa fedha tasilimu inakupasa kuondoa vipaumebele vingine kama ajira mpya

ukikopa utalipa more than the needed amount nn hamuelewi apo? last week serikali imelipa karibia 3B kama fidia kwa yerpi markez, nini ambacho hamuelewi apa? na hapo sio riba ni kuchelewesha tu malipo bado riba, inflation costs...

tatizo lenu mnachukua ushauri kutoka kwa mtu ambae hana background ya biashara wala hana biashara yoyote anafanya
 
Mkuu Habari....
Nikuulize ulikuwa unaweza kujibu swali la Ufahamu ukiwa sekondari kweli?
 
Biashara ya ndege ni ngumu mkuu.Sio ya kulipa leo wala kesho.

Unaponunua ndege moja unanyima ajira ngapi? Unanyakua mafao ya wastaafu wangapi? UNANYIMA nyongeza ya mishahara ya watu wangapi??

Kuna kitu kinaitwa opportunity cost.Je ATCL imeanza kupata faida?
 
Na hamna kokote kule taasisi unakopesha kuanzisha biashaara mpya nilazima uwe na hiyo biashara na cash flow iwepo ya kuelelewkaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo CAG/Assad ndiyo anaonekana mjinga. Ni mtu mjinga anayeenda kukopa pesa ya kununulia kitu wakati pesa ya kununua anayo. Ukilipa cash kama bei in laki moja unalipa laki moja, lakini ukikopa utalipa na interest ambayo utaishia kulipa zaidi ya laki. Minga yupi alipaye cash au akopaye?
 
Watu wakishaasoma theory wanajua na practice itamuwa hivyo hivyk hakafu eti wanawatukana waengine kuwa hawana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubongo wako una kamasi.Hujui chochote kuhusiana na masuala ya kiuchumi.Cash ina kazi yake na loan ina kazi yake.You can't buy such long term assets by cash ! Niishie hapo kwanza
Tuache upuuzi kila siku sisi wabongo tunanunua vitu kwa fedha taslimu , nenda kwa Mangi/mpemba/Mkinga/Mahindi n.k
Kwa hiyo wewe na Me a professor ni
 
Ni vigumu kwa layman kuelewa.
 

hawa wana ufipa hawaelewi
 

vizuri saana, sasa kama biashara ya ndege ni ngumu na unajua kabisa ndan ya miaka 5 bado kutakua hamna faida, ahadi ya kurejesha huo mkopo + interest ndan ya miaka 5 unatoa wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…