Mpuuzi tu, kopa lipa polepole huku fedha taslimu unafanyia shughuli nyingine.
Hata Emirates,Qatar, wanakopa.
Magufuli alikuwa Kiazi.
Unanunua madege cash halafu kujenga vyoo unachangisha
Kweli kupanga ni kuchagua
Sijui nani aliyasema haya
hela ya ndan ni mali ya serikali wana maamuzi nayo kwa lolote wanavotaka, wanaweza hata kuamua kuchapisha noti mpya mda wowote tafauti na international trade
Ni mtu kichaa kama mr #dishlimetilt ndio hawewezi kuelewa kuwa kila mkopo huwa una interest, na kulipa hiyo interest kunakufanya ulipe pesa nyingi zaidi kuliko mkopo wenyewe. Na uki-default kulipa mkopo wako unapoteza kitu ulichokopa na pesa uliyokwishalipa inaenda.Mpuuzi tu, kopa lipa polepole huku fedha taslimu unafanyia shughuli nyingine.
SASA SI FEDHULI ALIKUWA ANAKOPA HELA HALAFU HIZO HELA ZA MKOPO ANANUNUA NDEGE KWA CASH NA 10 PERCENT ANAKUNJA?!Ninachojiuliza mimi kwan kununua Cash kuna shida gani? Kama mkopo si ingekuwa hela mengi? Na mkopo unaweza kopa kiwandani kweli? Kama ndiyo kwa mda gan? Na si itakuwa mara 2 ya cash?
Sent using Jamii Forums mobile app
NDIOmlikua wote nn mkapata picha ya pamoja
NDIOkwan wakoloni walivokuja afrika walikopa madini yetu? leo unataka sisi ndo tuwakope? rubbish
NDIOwanaomwelewa si wale wa ufipa kuna wengine?
Shughuli ipi isio ya kulipa?Mpuuzi tu, kopa lipa polepole huku fedha taslimu unafanyia shughuli nyingine.
Ni mtu mjinga tu asiyejua faida ya kufanya manunuzi kwa cash.ndo maaana alitolewa ile nafasi mkuu, hakustahili kabisa!
Kwani Assad siyo mjinga wa kawaida hata kama ni profesa?Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe International Airport.
Some of the unfavourable provisions in the loan agreement that Uganda signed with the Export-Import (Exim) Bank of China on March 31, 2015, if not amended, expose Uganda’s sovereign assets to attachments and take-over upon arbitration awards in Beijing.
Our investigations found out that any proceedings against Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) assets by the lender would not be protected by sovereign immunity since Uganda government, in the 2015 deal, waived the immunity on airport assets.
Highly-placed sources said the risk presented by the Financing Agreement on March 7, 2019, prompted Uganda to send an 11-member delegation to Beijing to plead with Exim Bank to renegotiate the clauses now impugned by Kampala.
Taarifa zaidi: Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
Acha kutisha watu. Kwani PhD yake siyo kama nyingine? Usipende kuhukumu watu kwa kutumia ujinga wako. Kama ni PhD mbona tunazo na hatujisifu wala kutisha watu kuwa tunazo? Assad ni binadamu kama wengine. Hawezi kujua yote.Profesa Assad ni habari nyingine,ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Assad naye uprofesa wake ni wa kuungaunga tu. Nilisoma vipaper vyake vingi ni kwenye jarida la uhasibu la NBAA tu na viripoti hafifu hafifu vya consultancy tu; hana publication nzito kwenye majarida ya kimataifa.Profesa Assad ni habari nyingine,ninyi na vielimu vyenu vya kuugaunga mtapata tabu sana kumuelewa.
Hivi unajua kuwa marehemu alikopa Exim Bank China ma Barclays Bank, tena mkopo wa kibiashara?Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe International Airport.
Some of the unfavourable provisions in the loan agreement that Uganda signed with the Export-Import (Exim) Bank of China on March 31, 2015, if not amended, expose Uganda’s sovereign assets to attachments and take-over upon arbitration awards in Beijing.
Our investigations found out that any proceedings against Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) assets by the lender would not be protected by sovereign immunity since Uganda government, in the 2015 deal, waived the immunity on airport assets.
Highly-placed sources said the risk presented by the Financing Agreement on March 7, 2019, prompted Uganda to send an 11-member delegation to Beijing to plead with Exim Bank to renegotiate the clauses now impugned by Kampala.
Taarifa zaidi: Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
I wanted to say this. Wote tunakopa na sisi tulimkopa exim mwanzoni wa 2017 nadhani.Hivi unajua kuwa marehemu alikopa Exim Bank China ma Barclays Bank, tena mkopo wa kibiashara?
Usiwaone waganda ni wajinga zaidi yetu. Sisi mkopo tuliouchukua Exim China na Barclays huenda una masharti ya ovyo zaidi.
Mkuu simple logics za leverage zinakutoa kamasi. As long as mkopo ni serviceable kwa maana ya interest rate kuwa ndogo kuliko return ni heri ukope kuliko kutumia pesa yako ndani.Ni mtu kichaa kama mr #dishlimetilt ndio hawewezi kuelewa kuwa kila mkopo huwa una interest, na kulipa hiyo interest kunakufanya ulipe pesa nyingi zaidi kuliko mkopo wenyewe. Na uki-default kulipa mkopo wako unapoteza kitu ulichokopa na pesa uliyokwishalipa inaenda.
Jiwe alikuwa mashine nyingine kabisa, ni mapoyoyo kama wewe ndiyo hamuwezi kuona logic yake ya cash.
Deni liliongezeka kutokana na riba ya mikopo ya nyumaHuyu mleta mada sijui uelewa wake upo wapi.
Utawala wa marehemu ndio uliokopa kuliko awamu nyingine yoyote katika historia ya Taifa letu. Alikuwa kama wanachama wa vikoba. Anakopa Exim bank kwa masharti magumu, anaenda kununulia ndege, huku anatamba kuwa tumenunua kwa cash.