Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kundi fulani liliqah kutaka kumshauri. akawa blinded na political view. even though alijua hili shirika lina run on hasara.Magufuli alikuwa haambiliki na haya ndio madhara yake
Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Kuna Kenya airways, Ethiopia airways, Rwanda airways. Ili la kwetu ni uongozi mbovu na kukosa ubunifu!Serikali kufanya biashara ya ndege ni kuteketeza pesa za walipa kodi tu. Hakuna siku hili shirika litatengeneza faida hata lingewezeshwa miaka milioni moja.
Yaani kwa hizi hasara mtu wa kwanza kusemwa kwa viburi vyake ni magufuli hakutaka hata kuwasikiliza wana uchumikuna kundi fulani liliqah kutaka kumshauri. akawa blinded na political view. even though alijua hili shirika lina run on hasara.
Viburi vya magufuli vimetutia kitanzini sasaBilioni 60 hasara ambayo inatakiwa ilipwe ili turudi kwenye zero kwanza.
Bilioni 60 ingefanya mabadiliko kiasi gani kama ingewekwa kwenye kilimo au elimu?