CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Haina maana yoyote kwa sasa kujua nani alikuwa anawasilisha hizo ripoti. Uzeni hayo mandege mpeleke maji ya bomba vijijini na muajiri madaktari.
Payback Period ya mashirika ya ndege huwa ipoje mkuu?
 
Bilioni 60 hasara ambayo inatakiwa ilipwe ili turudi kwenye zero kwanza.
Bilioni 60 ingefanya mabadiliko kiasi gani kama ingewekwa kwenye kilimo au elimu?
Hiyo izidishe mara tano ni Bilioni za kutosha
 
Back
Top Bottom