CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Hiyo hasara tunayoiona ni pamoja na mianya ya upigaji kubanwa.
Mnalikumbuka lile dili la kwenda kuchora nembo ya twiga nje ya Nchi?..lingefanikiwatungekuwa tunanusa hasara ya bilioni Mia mbili 200 na kidogo.
 
Yaani hivi sasa nawaza kwa sauti,"hivi huyu CAG hii ripoti angeisoma mbele ya al marhum magufuri kuhusiana na hasara iliyoleta midege yake mpaka saa hii bado angekuwa kazini au angekuwa kijijini kwake"?
Magufuli alikuwa very smart and fair kwa
anaowateua fuatilia kila aliyemchomoa alikuwa na genuine reason.
 
Yaani hivi sasa nawaza kwa sauti,"hivi huyu CAG hii ripoti angeisoma mbele ya al marhum magufuri kuhusiana na hasara iliyoleta midege yake mpaka saa hii bado angekuwa kazini au angekuwa kijijini kwake"?
Kweli Magufuli ni shujaa, kusimama jukwaani na kusema ndege zinaleta faida kubwa kwa mauzo haya?

Victor Mlaki

Ripoti za CAG
2015/16 hasara ilikuwa bilioni 94.3,
2016/17 iliongezeka ikafikia bilioni 109.3
2017/18 ilipungua na kuwa bilioni 113.
 



Wakongwe hao Kenya Airways na hasara yao ya bilioni 750. Shirika linakuwa kwa sasa baada ya kuhuishwa upya obvious expenses zitakuwa juu, changamoto ya kisekta kutokana na ugonjwa etc
 
Tunashukuru Atcl hasara kupungua kutoka Bilioni 113 hadi bilioni 60
 
Wale walikuwa makada hawalipi nauli
 
Hasara tena🥱🥱🥱🥱🥱au Ni mabeberu
 
Serikali ingeachana na mambo ya kufanya biashara, waachie sekta binafsi. Hiyo ndyo solution ya Kudumu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
ATCL si zilikuwa zinafanya international flights kama
Johannesburg
Mumbai
Guangzhou
Bunjumbura
Entebe

Imekuaje tana mnasema ilikuwa haifanyi international flights???? Jibu tafadhali
 
ATCL si zilikuwa zinafanya international flights kama
Johannesburg
Mumbai
Guangzhou
Bunjumbura
Entebe

Imekuaje tana mnasema ilikuwa haifanyi international flights???? Jibu tafadhali
Hakukua na mpango wowote wa biashara,'yaani business plan'
 
Swala hapo sio kupata hasara, swala ni kwamba nchi lazima iwe na shirika lake la ndege hiyo ni lazima na sio swala la kujadili. Naona kuna watu wanafurahia hapa kuona shirika limepata hasara ni kama wanataka hizo ndege zisiwepo maana zinawanyima usingizi.

Sasa tujiulize, Kenya na Ethiopia wamekuwa na mashirika ya ndege miaka nenda rudi wanapata hasara wakati mwingine faida lakini hawaachi kwa kuwa wanajua umuhimu wa ndege. Wataalamu wetu wanaohusika na biashara ya anga ndio muda wao kutoa ushauri nini kifanyike. Hata hivyo shirika letu bado changa, na safari za nje bado chache, mathematically hapo uwezekano wa kupata hasara ni mkubwa japo huko mbelini tutapata faida na hilo ndio lilikuea lengo la kununua hizo ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…