Unaweza mpeleka n’gombe mpaka kwenye maji, lakini uwezi mlazimisha kuyanywa.
Uwekezaji kwenye air Tanzania ulikuwa ni matumizi mabaya kwa sababu za return on investment tu. Inachukua zaidi ya miaka 5 mpaka10 kwa kila ndege kulipa uwekezaji wa awali pale ambapo shirika linapotengeneza faida.
Ukiangalia limited resources na investment nyingine zenye faida kwa jamii na kukuza mapato ya serikali ndege sio kipaumbele.
Na Magufuli alifanya kwa nia njema kwakweli, unaweza mlaumu kwa kununua ndege ila sio kwa shirika kupata hasara.
Kama raisi aliwanunulia ndege on cash na bado wana pata hasara that is a management issue uwezi laumu good will gesture serikali iliyowafanyia.
Watu walishasema ukimsikiliza yule mkurugenzi he doesn’t look the part, busara ni kuwalazimisha sasa watoe audited ‘financial statement’ walau watanzania waone tatizo liko wapi haswa.