Unaishi Tanzania ipi mkuu?Badoo najiuliza kwa mitano imeendeshwa kwa hasara lakini Mbna tulikuwa hatusikii??
Ilikuwa not included kwenye report au ilikuwa haisemwi kwa makusud chini ya mzee wetu hayati
Hizo nazo ni hasara kwa kwenda mbele. Usafiri wa anga si lele mama!Kuna Kenya airways, Ethiopia airways, Rwanda airways. Ili la kwetu ni uongozi mbovu na kukosa ubunifu!
Mmhhhh.... Hongera sana, ama kwa ujinga wako, ama kwa utaalamu wa propaganda ulionao.Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Weeee! Asad alisema marehemu akampiga marufuku kukagua hilo shirikaAssad, hakuona hayo, sijui alipokea mlungula😭!
Sasa zile data za msemaji wa serikali kwamba ATCL inatengeneza faida zilitoka wapi?Lini ishaongozwa kwa faida? Hebu waulize KQ watakwambia!
Faida au hasara haipigiwi hesabu kwa pesa ya uwekezaji, bali ni gharama za uendeshaji na mapato yako. Kama gharama za uendeshaji ni kubwa zaidi kuliko mapato, hapo hata ukae miaka milioni wewe itaingia hasara na itabidi utafute fedha ingine kuendesha mradi.Mradi kama stendi ya mabasi pale Mbezi Luis umeghalimu Tsh Billion 50..!!!! Mpaka mradi ujiendeshe kwa faida tunaitaji miaka mingapi? Hapa watu wanaodili na biashara wanaweza kutushauri zaidi.
Je tuna bunge kibogoyo?
Covid imeanza mwaka jana mkuu. Hizi hasara ni kuanzia miaka 5 iliyopita. Kwaiyo hata bila covid tunaogelea hasara tu mkuuSekta ya usafiri wa ndege imeathirika sio tu Tanzania ulimwenguni mwote
Kuna miradi ni huduma kwa wananchi, sio suala la faida na hasara. Tuseme serikali inawahudumia watu wake ili wawe na hali bora waweze kuleta tija zaidi, na kuwa walipa kodi wazuri zaidi.Kwaiyo bora zijiendeshe kwa hasara?
Mmhhhh.... Hongera sana, ama kwa ujinga wako, ama kwa utaalamu wa propaganda ulionao.
Yaani Assad enzi hizo alinyanyaswa kwa kufukua Madudu ya Magufuli, Profesa Assad aliyetishwa kila mara ili aondoe Madudu kwenye ripoti, unajua ile ishu ya Trilioni 1.5 ilibidi asiiwekee query bali awaachie wasomaji makini waigundue? Maana Magu asingeruhusu kama ingetolewa wazi kama query. Magufuli alikasirika sana, na ndio kisa cha kuwatumia kina Ndugai kumdhalilisha.
Lakini najiuliza maswali, hii kukagua ATCL ilianza lini? Maana nakumbuka ilikuwa ofisi ya Rais, ambayo haikaguliwi. Naomba mwenye data anisaide hapo.
Ila Magufuli kwa hakika alibana na kuchuja habari zote zinazoonesha madhaifu ya utawala wake.
Tulikuwa tunapewa taarifa, na msemaji wetu wa serikali za ATCL kutengeneza faida,
Huu ndio utaratibu unaofanya haya mashirika yaendelee kupata hasara unakuta mtu anakazana kutetea makosa in this instance incompetence za utendaji.JPM naamini alizuia kutokana na hoja za kisiasa zisizo mashiko kama zinavyotokea sasa... iko miaka hasara ilikuwa inatangazwa hadi alipokuja ku stop isitangazwe.
1.5T ni hoja ya ukaguzi. Sio necessarily wizi... ona kilichotokea kwa wanasiasa.. wakawapumbaza wananchi kuwa zimechotwa. Hoja ya ukaguzi inaweza kuwa wizi ama accounting errors ... na zinatakiwa kutolewa majibu PAC then bungeni. Conclusion kuwa zilichotwa ni siasa.
Hasara ya ATC inatokana na uwekezaji mkubwa na running cost b4 biashara kufikia Break Even Point. Hasara was 113B inasonga to 60B kuelekea zero. Wanasiasa tusio elewa tunalaumu all over bila brain.
Naamini JPM didn't like hoja za kibiashara kuweka kisiasa...
Huu ndio utaratibu unaofanya haya mashirika yaendelee kupata hasara unakuta mtu anakazana kutetea makosa in this instance incompetence za utendaji.
Ngoja nikusaidie kidogo hesabu za faida ya ndege zinavyopigwa.
For simplicity reasons.
Umemununua ndege tsh billioni 29
Unampango wa kuitumia kwa miaka 10
Inakadiriwa katika ubora wake ndege inaweza ruka air miles 500,000 kwa mwaka
Kuanzia unaponunua hadi kuchakaa ndege inaweza tumia airmiles 7,000,000
Baada ya miaka 10 unaweza iuza kwa billion 5.
Hizo data zinakupa standing cost za ndege husika na kujua kiasi gani unatakiwa utengeneze kwa mwaka ili upate faida.
How so:
Standing cost
(Price - dump value)/life mileage * annual mileage.
= (29bn - 5bn)/7m * 500k = 1.8 billion
1.8bn ndio gharama ya ndege kwa mwaka.
Standing costs zingine kama admin una portion kwa kila ndege. Mfano admin costs za shirika kwa mwaka ni 3bn. Unamiliki ndege kumi with portioning kila ndege inachukua admin costs za 300 millions. Jumlisha fees zingine za ndege licences, insurance etc.
Ukitoka hapo unaingia kwenye running cost za ndege tu mfano mafuta, services, mishahara ya pilots etc; lets assume total cost kwa mwaka za hiyo ndege ni 3.5bn.
3.5bn/ (500,000) annual air miles = 7000 cost of running the plane per year with targeted air mile.
Ndege yenyewe inauwezo wa kubeba abiria 40 (bombardier).
(7000/ 40) = 175 per sit air mile (break even air mile).
Umbali wa Mwanza to Dar ni miles 530. Break even ya kiti dar to mwanza ni (175 * 530) = 92750
Labda unaweka profit margin 40% (ambayo ni 37100). Ticket round up price ni tsh130000.
Of course ATCL inamiliki aina nyingine za ndege zinazoweza kwenda route hizo si ajabu cost zao za air miles zikawa chini zaidi you find the average route price and that’s business.
Unaweza sasa kuwa mbunifu return tickets ukaweka profit margin za 30%, ukaongeza viti halafu ukapunguza cargo to balance payload etc. Ili kuendana na soko la walalahoi.
Hizo hesabu zenu za kibiashara za break even sijui huwa mnazitoa wapi. Hilo shirika linahitaji management nyingine waliopo wameshindwa kazi.
It was a bad idea kununua ndege, lakini hasara za shirika sio za mnunuzi ni management ya ovyo; acheni kutetea kila upuuzi.
Usi google maswala ya management accounting (cost accounting) elewa.Kwakuwa hujuwi Break Even Point unatoa midata isiyohusika na nilichokisema....
Hoja yako inaweza kuwa ya msingi ila haiingiliani na BEP...
Una sound kuwa na akili sana ila hujuwi kuzitumia...
Tesla alipata hasara for years na ameanza kupata faida this soon kwa sababu cost za izalishajj mwanzoni na gharama za uendeshaji wa kampuni ziko juu kulinganisha na kipato mwanzoni....
This works hata kwa biashara ya bajaji... unajua aviation ila hujuwi economics wala accounting..
Nakuwekea graph ya Tesla hapo chini...
Hakuna aliyeshindwa ila akili yako ina makengeza [emoji16][emoji16]View attachment 1738129View attachment 1738130View attachment 1738131
Usi google maswala ya management accounting (cost accounting) elewa.
Hiyo unayo kadhana ni nayo ni break-even point ya manufacturing/production.
Na nilichokuonyesha ni namna ya kufanya break even point ya services kama mashirika ya ndege.
Ni complete different approaches kwenye kutafuta break even point ya production and services.
Usi google maswala ya management accounting (cost accounting) elewa.
Hiyo unayo kadhana ni nayo ni break-even point ya manufacturing/production.
Na nilichokuonyesha ni namna ya kufanya break even point ya services kama mashirika ya ndege.
Ni complete different approaches kwenye kutafuta break even point ya production and services.
Huu ndio utaratibu unaofanya haya mashirika yaendelee kupata hasara unakuta mtu anakazana kutetea makosa in this instance incompetence za utendaji.
Ngoja nikusaidie kidogo hesabu za faida ya ndege zinavyopigwa.
For simplicity reasons.
Umemununua ndege tsh billioni 29
Unampango wa kuitumia kwa miaka 10
Inakadiriwa katika ubora wake ndege inaweza ruka air miles 500,000 kwa mwaka
Kuanzia unaponunua hadi kuchakaa ndege inaweza tumia airmiles 7,000,000
Baada ya miaka 10 unaweza iuza kwa billion 5.
Hizo data zinakupa standing cost za ndege husika na kujua kiasi gani unatakiwa utengeneze kwa mwaka ili upate faida.
How so:
Standing cost
(Price - dump value)/life mileage * annual mileage.
= (29bn - 5bn)/7m * 500k = 1.8 billion
1.8bn ndio gharama ya ndege kwa mwaka.
Standing costs zingine kama admin una portion kwa kila ndege. Mfano admin costs za shirika kwa mwaka ni 3bn. Unamiliki ndege kumi with portioning kila ndege inachukua admin costs za 300 millions. Jumlisha fees zingine za ndege licences, insurance etc.
Ukitoka hapo unaingia kwenye running cost za ndege tu mfano mafuta, services, mishahara ya pilots etc; lets assume total cost kwa mwaka za hiyo ndege ni 3.5bn.
3.5bn/ (500,000) annual air miles = 7000 cost of running the plane per year with targeted air mile.
Ndege yenyewe inauwezo wa kubeba abiria 40 (bombardier).
(7000/ 40) = 175 per sit air mile (break even air mile).
Umbali wa Mwanza to Dar ni miles 530. Break even ya kiti dar to mwanza ni (175 * 530) = 92750
Labda unaweka profit margin 40% (ambayo ni 37100). Ticket round up price ni tsh130000.
Of course ATCL inamiliki aina nyingine za ndege zinazoweza kwenda route hizo si ajabu cost zao za air miles zikawa chini zaidi you find the average route price and that’s business.
Unaweza sasa kuwa mbunifu return tickets ukaweka profit margin za 30%, ukaongeza viti halafu ukapunguza cargo to balance payload etc. Ili kuendana na soko la walalahoi.
Hizo hesabu zenu za kibiashara za break even sijui huwa mnazitoa wapi. Hilo shirika linahitaji management nyingine waliopo wameshindwa kazi.
It was a bad idea kununua ndege, lakini hasara za shirika sio za mnunuzi ni management ya ovyo; acheni kutetea kila upuuzi.
Umeongelea uendeshaji wa biashara ya ndege kwa weredi mkubwa...
Break Even ya seat ni ya daily operation... sio ya annual evaluation inayokupa data za hasara ama faida.
Zuzu wa operation wa biashara za ndege ama Tesla ama Train naangalia cost vs profit kwa certain period of time.
Unapoanza biashara kuna cost nyingi na takes time kuanza kupata faida kama ilivyokuwa kwa Tesla na makampuni mengine...
Umekuja na PhD material kubishia kitu very irrelevant...