JPM naamini alizuia kutokana na hoja za kisiasa zisizo mashiko kama zinavyotokea sasa... iko miaka hasara ilikuwa inatangazwa hadi alipokuja ku stop isitangazwe.
1.5T ni hoja ya ukaguzi. Sio necessarily wizi... ona kilichotokea kwa wanasiasa.. wakawapumbaza wananchi kuwa zimechotwa. Hoja ya ukaguzi inaweza kuwa wizi ama accounting errors ... na zinatakiwa kutolewa majibu PAC then bungeni. Conclusion kuwa zilichotwa ni siasa.
Hasara ya ATC inatokana na uwekezaji mkubwa na running cost b4 biashara kufikia Break Even Point. Hasara was 113B inasonga to 60B kuelekea zero. Wanasiasa tusio elewa tunalaumu all over bila brain.
Naamini JPM didn't like hoja za kibiashara kuweka kisiasa...
Huu ndio utaratibu unaofanya haya mashirika yaendelee kupata hasara unakuta mtu anakazana kutetea makosa in this instance incompetence za utendaji.
Ngoja nikusaidie kidogo hesabu za faida ya ndege zinavyopigwa.
For simplicity reasons.
Umemununua ndege tsh billioni 29
Unampango wa kuitumia kwa miaka 10
Inakadiriwa katika ubora wake ndege inaweza ruka air miles 500,000 kwa mwaka
Kuanzia unaponunua hadi kuchakaa ndege inaweza tumia airmiles 7,000,000
Baada ya miaka 10 unaweza iuza kwa billion 5.
Hizo data zinakupa standing cost za ndege husika na kujua kiasi gani unatakiwa utengeneze kwa mwaka ili upate faida.
How so:
Standing cost
(Price - dump value)/life mileage * annual mileage.
= (29bn - 5bn)/7m * 500k = 1.8 billion
1.8bn ndio gharama ya ndege kwa mwaka.
Standing costs zingine kama admin una portion kwa kila ndege. Mfano admin costs za shirika kwa mwaka ni 3bn. Unamiliki ndege kumi with portioning kila ndege inachukua admin costs za 300 millions. Jumlisha fees zingine za ndege licences, insurance etc.
Ukitoka hapo unaingia kwenye running cost za ndege tu mfano mafuta, services, mishahara ya pilots etc; lets assume total cost kwa mwaka za hiyo ndege ni 3.5bn.
3.5bn/ (500,000) annual air miles = 7000 cost of running the plane per year with targeted air mile.
Ndege yenyewe inauwezo wa kubeba abiria 40 (bombardier).
(7000/ 40) = 175 per sit air mile (break even air mile).
Umbali wa Mwanza to Dar ni miles 530. Break even ya kiti dar to mwanza ni (175 * 530) = 92750
Labda unaweka profit margin 40% (ambayo ni 37100). Ticket round up price ni tsh130000.
Of course ATCL inamiliki aina nyingine za ndege zinazoweza kwenda route hizo si ajabu cost zao za air miles zikawa chini zaidi you find the average route price and that’s business.
Unaweza sasa kuwa mbunifu return tickets ukaweka profit margin za 30%, ukaongeza viti halafu ukapunguza cargo to balance payload etc. Ili kuendana na soko la walalahoi.
Hizo hesabu zenu za kibiashara za break even sijui huwa mnazitoa wapi. Hilo shirika linahitaji management nyingine waliopo wameshindwa kazi.
It was a bad idea kununua ndege, lakini hasara za shirika sio za mnunuzi ni management ya ovyo; acheni kutetea kila upuuzi.