CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Ukaguzi ulifanyika lkn huenda ripoti zilizuiwa zisitoke kutoka juu.

Na ukweli kungeleta lugha gongana.

Kwa mpendwa alilishwa natango pori kuwa shirika linaingiza faida

IMG-20210328-WA0011.jpg

IMG_20210328_123336.jpg
 
Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Ungekuwa unatumia hata asilimia moja ya akili zako usingeandika huu utopolo wako hapa. Umeamua kujitoa ufahamu jumla
 
Wakati wa kikwete hata kama palikua na upigaji ulikua unawanufaisha wengi ila wakati wa jiwe upigaji ulikua unanufaisha wachache...

NB: uwanja wa chato umejengwa na mayanga construction sasa jiulize hiyo kampuni mmiliki ni nani...
Shemeji yake na magufuli
 
Kenya Airways imeingia hasara ya bilioni karibia 30 ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona.So issue ya Hasara kwenye makampuni ya ndege kwa kipindi hiki ni kawaida.
Unaambiwa miaka mi5 yote tumekuwa tukilamba mchanga bwashee!
 
Wana ndege nyingi kuliko sisi na zinazofanya safari nyingi kuliko sisi. Wao walikuwa kwenye lockdown sisi tunapeta. Kwanini wawe na hasara ndogo sisi tuwe na hasara kubwa?
Mkuu Loss ya 60 ni ndani ya miaka mitano na Loss kubwa imepatikana miaka hii miwili ya Corana but hao kenya Airways wamepata Loss ya B 30 ndani ya mwaka mmoja tu. ATCL ilikuwa inapunguza Loss kila mwaka na baadae ingeweza kuleta faida.Afu watu wajue kuwa JPM Hakutarget kwenye bishara,Alileta hizi ndege kwa lengo la kuboresha huduma ya usafir.
 
Kwani wapinzani wameumbuka kwa lipi kwani ndio walikuwa na dhamana ya ukaguzi?
Kama mwananchi walikuwa na haki ya kuwana mashaka hivyo hukumu la serikali ilitakuwa kuwahakikishia kuwa Mali yenu inakaguliwa na ipo kwenye mikono salama
 
Mkuu Loss ya 60 ni ndani ya miaka mitano na Loss kubwa imepatikana miaka hii miwili ya Corana but hao kenya Airways wamepata Loss ya B 30 ndani ya mwaka mmoja tu. ATCL ilikuwa inapunguza Loss kila mwaka na baadae ingeweza kuleta faida.Afu watu wajue kuwa JPM Hakutarget kwenye bishara,Alileta hizi ndege kwa lengo la kuboresha huduma ya usafir.
kwa hiyo unabishana na mkaguzi aliyesema ni mwaka mmoja. nyie ndio majizi wenyewe
 
Back
Top Bottom