CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Unaweza mpeleka n’gombe mpaka kwenye maji, lakini uwezi mlazimisha kuyanywa.

Uwekezaji kwenye air Tanzania ulikuwa ni matumizi mabaya kwa sababu za return on investment tu. Inachukua zaidi ya miaka 5 mpaka10 kwa kila ndege kulipa uwekezaji wa awali pale ambapo shirika linapotengeneza faida.

Ukiangalia limited resources na investment nyingine zenye faida kwa jamii na kukuza mapato ya serikali ndege sio kipaumbele.

Na Magufuli alifanya kwa nia njema kwakweli, unaweza mlaumu kwa kununua ndege ila sio kwa shirika kupata hasara.

Kama raisi aliwanunulia ndege on cash na bado wana pata hasara that is a management issue uwezi laumu good will gesture serikali iliyowafanyia.

Watu walishasema ukimsikiliza yule mkurugenzi he doesn’t look the part, busara ni kuwalazimisha sasa watoe audited ‘financial statement’ walau watanzania waone tatizo liko wapi haswa.
 
Kuna Watu walidhani ( hudhani ) kila aliyekuwa akimkosoa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Sera yake ya Uongozi basi ana ( Wana ) Chuki nae binafsi au ni Wapinzani au Wanatumika na Mabeberu kama MATAGA walivyotubatiza.

Sasa taratibu Sisi akina ' Team Kataa Ununuaji Midege ' tunaanza kuelekea katika Ushindi wa Hoja hii dhidi ya wale Wanafiki wachache waliokuwa wakitetea Kipumbavu kabisa Biashara hii wakati wakiwa hawajui kuwa ingeleta Hasara Kubwa na pia Kukaribisha Ufisadi mkubwa kutoka kwa Watendaji.

Praise Team ya CCM na iliyokuwa Praise Team ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kuanzia sasa mkiwa mnaona Watu wenye Akili hapa JF na wenye mtizamo wa mbali wanakosoa au kutahadharisha Jambo ( Suala ) msiwe mnakurupuka Kupinga au Kukasirika kwani huenda Sisi Wakosoaji tukawa ndiyo tuna Mapenzi makubwa na Tanzania yetu hii kuliko nyie Wachumia Tumbo na Wanafiki wachache mliopo huko.

Taratibu sasa mtaanza sana Kutuelewa.
 
ATCL ipewe muda , tusiwe na papara ya kutengeneza faida, tuendelee kujitanua kuongeza route za nje zenye faida, bei iwe rafiki kuvutia wateja, huduma zetu ziboreke, hili ni shirika ambalo litadumu muda mrefu hivyo faida itakuja as time goes. Mashirika yote tunayoona yana pata faida yana zaidi ya miaka 30 kwenye biashara hii , tutapata faida.
Kwani ATCL ina miaka mingapi toka kuanzishwa?
Kama hujui tu, ATCL lilianzishwa zaidi ya miaka 30 iliyopita.

Hapa tunazungumzia reforms kubwa ndani ya ATCL zilizofanyika miaka mitano iliyopita chini ya Magufuli ambazo zaidi ya Trilioni 2 za serikali zimeshatumika pasipo maelezo ya msingi. Sasa toka kipindi chote hicho mpaka leo hii ni mwendo wa kuvuna hasara tupu. Sasa tuvumilie mpaka lini wakati CAG ameshasema kupata faida kwa ATCL ya sasa litabakia kuwa jambo la hadithi tu?
 
Kuna Watu walidhani ( hudhani ) kila aliyekuwa akimkosoa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Sera yake ya Uongozi basi ana ( Wana ) Chuki nae binafsi au ni Wapinzani au Wanatumika na Mabeberu kama MATAGA walivyotubatiza.

Sasa taratibu Sisi akina ' Team Kataa Ununuaji Midege ' tunaanza kuelekea katika Ushindi wa Hoja hii dhidi ya wale Wanafiki wachache waliokuwa wakitetea Kipumbavu kabisa Biashara hii wakati wakiwa hawajui kuwa ingeleta Hasara Kubwa na pia Kukaribisha Ufisadi mkubwa kutoka kwa Watendaji.

Praise Team ya CCM na iliyokuwa Praise Team ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kuanzia sasa mkiwa mnaona Watu wenye Akili hapa JF na wenye mtizamo wa mbali wanakosoa au kutahadharisha Jambo ( Suala ) msiwe mnakurupuka Kupinga au Kukasirika kwani huenda Sisi Wakosoaji tukawa ndiyo tuna Mapenzi makubwa na Tanzania yetu hii kuliko nyie Wachumia Tumbo na Wanafiki wachache mliopo huko.

Taratibu sasa mtaanza sana Kutuelewa.
Uchawi sio lazima kupiga ramli..
 
Kwani ATCL ina miaka mingapi toka kuanzishwa?
Kama hujui tu, ATCL lilianzishwa zaidi ya miaka 30 iliyopita.

Hapa tunazungumzia reforms kubwa ndani ya ATCL zilizofanyika miaka mitano iliyopita chini ya Magufuli ambazo zaidi ya Trilioni 2 za serikali zimeshatumika pasipo maelezo ya msingi. Sasa toka kipindi chote hicho mpaka leo hii ni mwendo wa kuvuna hasara tupu. Sasa tuvumilie mpaka lini wakati CAG ameshasema kupata faida kwa ATCL ya sasa litabakia kuwa jambo la hadithi tu?
Investment ya trillion 2 huwezi rudisha mtaji nani ya miaka mitano, hiyo ni above 15 -20 yrs ROI baada ya hapo ndipo utaona faida, achaneni na theory ingieni kwenye uhalisia, nendeni on the ground muone biashara zinavyo enda, otherwise tutaanzisha vitu na kuviacha, je kuna kitu ambacho tutaweza fanya?
 
Mataga mlidhani biashara ya airline ni kama biashara ya ufugaji wa ng'ombe 🤣🤣🤣
Mimi sio mataga na ninakotoka hatufugi ng’ombe labda kuku tu, sorry to disappoint you. Nilichokuandikia hapo juu ndio ukweli bila chenga. Nenda kakae pale Airport parking uulize wale wanaozipanda kwa siku wameleta imapct gani kwenye uchumi wa nchi kwa siku hiyo?
 
Mataga narudia tena, biashara ya airline sio biashara ya kufuga ng'ombe na hao kuku.
Hii sio biashara ya kufanywa by 100% na serikali, next time mtafute wataalam wa kuandaa business plan badala ya kukusanyika airport kukata viuno kusherehekea ndege.
 
Kwahiyo airlines zingine Duniani pia hazina business plan? Nipe moja hapa yenye profit.
 
Mimi huko kwenye ndege nilijua tunapata hasara ok inawezekana lengo lake lilikua zuri ila hakupata washauri wazuri kilichoniumiza zaidi ni kuondolewa Prof Asad niliumia kweli nilijua Mzalendo wa kweli anaondolewa ili waendelee kupiga na subwoofer ndio alikua kiongozi wa hiyo ngoma...
 
faida ni watu kula uroda angani, haipo zaidi ya hiyo
Asante kwa jicho Pevu,hata mimi nimeliona hilo ndio mana nimesema hebu tuulize na Faida ni kiasi gani,tusiishie kwenye Hasara peke ake maana hata kama kuna hasara naamini pia kuna faida je hiyo faida ni kiasi gani?

kuishia kwenye hasara tu na kuweka nukta hapo,ni maandalizi ambayo ndio hayo boss S.M.P umeya ainisha.
 
Investment ya trillion 2 huwezi rudisha mtaji nani ya miaka mitano, hiyo ni above 15 -20 yrs ROI baada ya hapo ndipo utaona faida, achaneni na theory ingieni kwenye uhalisia, nendeni on the ground muone biashara zinavyo enda, otherwise tutaanzisha vitu na kuviacha, je kuna kitu ambacho tutaweza fanya?
Labda unafikiri midege yote inajumuishwa kama asset moja.

Kila ndege inayomilikiwa na ATCL ina life time expectancy, dump value (ambayo inatakiwa kuwa gain on asset) na annual depreciation.

Kwa ivyo bombardiers na dreamline return on investement aziwezi kuwa ndani ya miaka sawa.

Moreover kila ndege unataka itengeneze faida kutokana na assumption za annual interest payment (ata kama umenunua cash, ndio maana your better off kununua kama hire purchase) + operation cost + profit margin. Ina maana kila mwaka shirika lazima litengeneze faida regardless of large sums of investment.

Tatizo ni management ya ATCL mkurugenzi wao ni incompetent ukimsikiliza tu.
 
Asante kwa jicho Pevu,hata mimi nimeliona hilo ndio mana nimesema hebu tuulize na Faida ni kiasi gani,tusiishie kwenye Hasara peke ake maana hata kama kuna hasara naamini pia kuna faida je hiyo faida ni kiasi gani?

kuishia kwenye hasara tu na kuweka nukta hapo,ni maandalizi ambayo ndio hayo boss S.M.P umeya ainisha.
Ushawahi fanya biashara?
 
Back
Top Bottom