Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nenda kagoogle.Kwahiyo airlines zingine Duniani pia hazina business plan? Nipe moja hapa yenye profit.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kagoogle.Kwahiyo airlines zingine Duniani pia hazina business plan? Nipe moja hapa yenye profit.
Umeshtuka eh! Nilikuwa nilitaka ujichanganye uzitaje! Kweli zipo.Nenda kagoogle.
How old are you?Umeshtuka eh! Nilikuwa nilitaka ujichanganye uzitaje! Kweli zipo.
Hakuna biashara ya hivyo, na kwa taarifa yako life span ya ndege ni zaidi ya miaka 20. Faida ya ndege inategemea na watu wa ndani na nje ya nchi, pili inategemea na kipato cha wananchi wetu, tatu routes za ndege zenye Ku generate faida tuko nazo ngapi? ninapokuambia income ya watu wetu, baada ya miaka kumi ijayo income yetu itakuwa kubwa ukilinganisha na income ya sasa hivi, hivyo asilimia kubwa ya watanzania wataweza kumudu kupata ndege na shirika kupata wateja wengi zaidi, pia litaongeza idadi ya watalii kwenye sector ya utalii, unapikuwa na routes nyingi zenye faida ndipo utapata faida na hata kucover loss katika route ambazo haziingizi faida lakini unatengeneza jina, ndio maana nimekuambia investment of 2 trillion sahau kabisa faida within 5-10 yrs, hii miaka ni ya kupunguza tu hasara from 60bil to zero bil baadae ndipo tuanze kupata faida, we have to be patient.Labda unafikiri midege yote inajumuishwa kama asset moja.
Kila ndege inayomilikiwa na ATCL ina life time expectancy, dumping value na annual depreciation.
Kwa ivyo bombardiers na dreamline return on investement aziwezi kuwa ndani ya miaka sawa.
Moreover kila ndege unataka itengeneze faida kutokana na assumption za annual interest payment + operation + profit margin. Ina maana kila mwaka shirika lazima litengeneze faida regardless of large sums of investment.
Tatizo ni management ya ATCL mkurugenzi wao ni incompetent ukimsikiliza tu.
Old enough not to write about viunos in this place, unlike you!How old are you?
Ndugu strategic planning ya shirika la ndege inaanzia na hesabu za ‘services costing’ wenzako wana angalia kila kitu hapo ulichoorodhesha and more; ili kujua gharama ya kurusha ndege kila moja.Hakuna biashara ya hivyo, na kwa taarifa yako life span ya ndege ni zaidi ya miaka 20. Faida ya ndege inategemea na watu wa ndani na nje ya nchi, pili inategemea na kipato cha wananchi wetu, tatu routes za ndege zenye Ku generate faida tuko nazo ngapi? ninapokuambia income ya watu wetu, baada ya miaka kumi ijayo income yetu itakuwa kubwa ukilinganisha na income ya sasa hivi, hivyo asilimia kubwa ya watanzania wataweza kumudu kupata ndege na shirika kupata wateja wengi zaidi, pia litaongeza idadi ya watalii kwenye sector ya utalii, unapikuwa na routes nyingi zenye faida ndipo utapata faida na hata kucover loss katika route ambazo haziingizi faida lakini unatengeneza jina, ndio maana nimekuambia investment of 2 trillion sahau kabisa faida within 5-10 yrs, hii miaka ni ya kupunguza tu hasara from 60bil to zero bil baadae ndipo tuanze kupata faida, we have to be patient.
CEO ubovu wake Siwezi jua, lakini kuna u lazima pia wa kubadili management ya ATCL kama itawezekana, lakini je CEO w a makampuni kama KQ nao sio wabunifu? maana wengi wanasema tusingenunua kwa cash ila mkopo sasa mbona hata wenye mkopo bado wana kula loss? tuweni wabunifu na tuweke target na milestone kuwa itatuchukua muda fulani kuziba loss na miaka fulani kuanza kutengeneza faida, lakini kwangu kufufua ATCL was the right decision.
![]()
Kenya Airways reports worst ever loss of $330m
Kenya Airways chairman Michael Joseph says the outlook still looks bleak for the airline.www.theeastafrican.co.ke
Vizuri sana. Haya endelea.Old enough not to write about viunos in this place, unlike you!
Watu hawazungumzii kurudisha fedha za manunuzi, ripoti inaonyesha shirika lina operate under loss, ikiwa hivi maana yake linakula mtaji, katika biashara hii ni shida.Investment ya trillion 2 huwezi rudisha mtaji nani ya miaka mitano, hiyo ni above 15 -20 yrs ROI baada ya hapo ndipo utaona faida, achaneni na theory ingieni kwenye uhalisia, nendeni on the ground muone biashara zinavyo enda, otherwise tutaanzisha vitu na kuviacha, je kuna kitu ambacho tutaweza fanya?
Mkuu umesahau kama alikuwa hataki ushauri? Ukimpa ushauri ndio imeharibu kabisaa in his own voiceMimi huko kwenye ndege nilijua tunapata hasara ok inawezekana lengo lake lilikua zuri ila hakupata washauri wazuri kilichoniumiza zaidi ni kuondolewa Prof Asad niliumia kweli nilijua Mzalendo wa kweli anaondolewa ili waendelee kupiga na subwoofer ndio alikua kiongozi wa hiyo ngoma...
Ulikagua tiketi?Wadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
Wadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
Zilikuwa zinajaa viongozi na ndugu zaoWadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
Hasara Tena?Wadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
Hilo swala halihusu ticket tu chief ni suala mtambuka sana. Huwenda hata wafanya kazi wa ATCL walikuwa wana deals zako kwa asilimia kubwa ya wateja. Hii nchi hata uwameze wapigali wote bado ni changamoto. Hizo chunguzi zingekuwa zinakamilika kiuaminifu na wananchi tukaelezwa namna upigaji ulivyokuwa ndiyo ungekuwa mwarobaini wa kila wizi. Tatizo hizi chunguzi za hapa nchini zimejaa ushkaji sana na wananchi hatupewi matokeo ya hizo chunguzi. Yaani hii nchi inaudhi sana na hasa huu ujuha wa baadhi ya wana CCM kufumbiana macho kwa kigezo cha kulinda maslahi ya chamaWadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.