Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara zote CAG amekuwa akitoa taarifa ya hasara kwa ATCL, hakuna mwaka ambao CAG amewahi kusema kuwa wametengeneza faida.Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Kwenye uwekezaji unaotumia mitaji mikubwa kama ndege hasa kwa shirika linalofufuliwa kama ilivyo Air Tanzania, ambalo liko kwenye maboresho na kulifufua upya, ni wazi hesabu zake zitaonekana kwenye hasara.Wadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
Usifikiri hayo mashirika uliyotaja yanatengeneza faida na usidhani kwamba yanamilikiwa na serikali kwa asilimia mia, Kenya airways almost haijawahi kutengeneza profit, hata Quantas airways ya Australia katika statement yao ya hivi karibuni wamepata faida kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka 9, na haya yote tulishatahadharisha kwamba serikali isijiingize kwenye biashara ya ndege kichwa kichwa...Kuna Kenya airways, Ethiopia airways, Rwanda airways. Ili la kwetu ni uongozi mbovu na kukosa ubunifu!
Nilipo sikia kuna watu wamekamatwa kwa kufanya sherehe kwenye msiba sikuelewa vizuri kwa nini wafanye sherehe wakati msiba ni huzuni, lakini sasa nimeelewa kwa nini walisheherekea.Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
View attachment 1736513
SureRipoti za Kimataifa zinaonesha Mashirika mengi ya ndege katika Afrika yamekuwa yakijiendesha kwa hasara sana.
Ripoti za CAG 2015/16 hasara ilikuwa bilioni 94.3, mwaka 2016/17 iliongezeka ikafikia bilioni 109.3 wakati mwaka 2017/18 ilipungua na kuwa bilioni 113.
Hii ya bilioni 60 ni kama imepungua sana.
Hii ni kwa mwakaHapo na fikiria kwanza kurudisha msingi. Hivi ni kwa miaka 5 au kwa mwaka?
Hapana, niliangaliaga idadi ya Wasafiri AirportUlikagua tiketi?
OkSasa kama Abiria wanajaa lakini Hela za kujaza mafuta na service ya Pancha wanakopa unategemea nini...Hao abiria wenyewe nusu na robo wamepanda baada ya kulalamika wapunguziwe bei
Upo sahihi, serikali ingeungua hisa kwenye mashirika ya ndege, Kama wanavyofanya S A A na Kenya airways.Sekta hii tungeiachia FastJet, PrecisionAir zigo hili la hasara endelevu lisingebebwa na kodi za wananchi.
Bajeti ya Madege bajeti zaidi ya Trilioni 1. Shilingi za Tanzania
Ndege Airbus mbili aina A220- 300 ni TSZ495.6 billion Tanzanian shillings (USD215.95 million)
Oda za Boeing 787 Dreamliner US$224.6 million Tshs 448 bilioni
Pamoja na Covid-19, gharama za manunuzi ya madege na hasara endelevu kwa kweli serikali sasa inaona maamuzi yake hayakuwa sahihi. Ilitakiwa sekta binafsi ndiyo wafanye biashara hii. Na kukutokea mkwamo ktk sekta hii serikali ingeweza kutia mkono wake kulingana na uwezo wake na siyo kujiingiza ktk hasara kubwa kiasi hiki.
Air Tanzania orders two more aircraft from Airbus
Air Tanzania Airbus A220-300[emoji2398] Airbus
22.07.2019 - 17:32 UTC
Air Tanzania (TC, Dar es Salaam) will acquire two more aircraft from Airbus, The Office of President John Magufuli has announced.
In a statement issued last week, Magufuli said only that two more aircraft had been ordered alongside a previously disclosed Dash 8-400 from De Havilland Aircraft of Canada. The state-owned airline currently operates two A220-300s in addition to one B787-8 (to be joined by a second by year-end) and three Dash 8-400s. All aircraft are leased from TGF - Tanzania Government Flight as are one Fokker 50 and one Fokker 28-3000 that were seconded to the airline on Magufuli's direction.
In the financial year 2018/19, the Tanzanian government budgeted TSZ495.6 billion Tanzanian shillings (USD215.95 million) for aircraft purchases. Magufuli intends to use a rejuvenated Air Tanzania to drive up tourist inflows thus benefiting the fiscus.
u by year-end. Source : Air Tanzania orders two more aircraft from Airbus
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasiWadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
Kwahiyo hata kama wamejaa airport wakalipa elfu kumi Dar - Mwanza unaona ialipaHapana, niliangaliaga idadi ya Wasafiri Airport
Mkuu tazama vizuri Victor MlakiRipoti za Kimataifa zinaonesha Mashirika mengi ya ndege katika Afrika yamekuwa yakijiendesha kwa hasara sana.
Ripoti za CAG 2015/16 hasara ilikuwa bilioni 94.3, mwaka 2016/17 iliongezeka ikafikia bilioni 109.3 wakati mwaka 2017/18 ilipungua na kuwa bilioni 113.
Hii ya bilioni 60 ni kama imepungua sana.
Ripoti za CAG
2015/16 hasara ilikuwa bilioni 94.3,
2016/17 iliongezeka ikafikia bilioni 109.3
2017/18 ilipungua na kuwa bilioni 113.