CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Magufuli atakuwa alilala na Mkeo au Mama yako. Hii siyo kawaida, huu ni ugonjwa. Hata Mdude alietekwa na kuteswa anaona bora katili Magufuli kuliko huyu wa kurembua.
 
Hivi plee bagaining iliishia kwenye mifuko ya watu au zilirudishwa? Naona kama watanzania wamekua wasahaulifu. Kujadili bungeni nikumuongezea mwananchi mzigo wa matumizi
 
Report zisizo na impact yoyote kuzifuatilia ni kupoteza muda.
 
Hakuna anayejali hata wakitaka wakafungie vitumbua au mihogo.Usanii mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…