CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Huyu CAG nae ameenda kumshukuru mama anaupiga mwingi.
 
Hayo Maungufu ndiyo udhaifu wake!!, anaanzaje kuwa bora tena??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Lakini mbona mama yako unayemsifia hachukui hatua zozkte mwa wiI na ufisadi uliowazi na unalilotiwa na vyombo vyake..harafu unamsifu
 
Hii nchi inasikitisha na kuhuzunisha sana. Yaani wakati hilo shirika linaendelea kutengeneza hasara kila mwaka, bado serikali inaendelea kununua ndege!!
 
Mnakumbuka nilisema ni upumbavu kutumia Trilioni 27 kujenga reli na kununua ndege wakati ni mamiradi yasiyo na maana?

Hiyo ni Mwanzo tuu subiria SGR mtapata majibu
 
Kama hakuna hatua kali zinazochukuliwa, hakuna aliye bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…