CAG: Kuna wizi wa Kalamu Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

Wana wivu wa kike tu hao
 
Matusi ya Magufuli yalikuwa mitandaoni kutoka kwa wahuni, sio kwa wananchi.

Sifa za Samia ni za mitandaoni kutoka kwa wahuni na mafisadi, sio kwa wananchi.

For those who matter Samia hawezi kufikia ata robo ya uongozi wa Magufuli hilo lipo wazi.

Sasa kama una akili timamu mtu ambae unajua umuwezi ni bora kumzima asisikike kabisa utengeneze aina yako ya uongozi watu wauzoee.

Lakini kosa kubwa la ufundi wanalolifanya hawa wahuni ni kujiaminisha Samia anawezaonekana bora dhidi ya Magufuli kwa kumuongelea mtangulizi wa vibaya.

Ni hivi kila mnavyomfananisha Samia na Magufuli mnawakumbusha watu kulikuwa na mwamba na hii style ya Samia ya uongozi wa ovyo ndivyo mnavyomfanya bi tozo achukiwe na wananchi.

Yeye anastahili yake kaamua kwenda nayo ata kama ni ya ovyo ni yake wacha watu waizoee maisha yaendelee; lakini kumtaja taja Magufuli na kumlinganisha na hiki kichekesho cha raisi ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Siyo kwamba kila mtu anatakiwa kula urefu (mzunguko) wa kamba yake?
 
Insane
 
Well said
 
Wezi wamezidiwa ujanja lazima walie lie.
 
Tukifika pesa zilizofichwa nje Seychelles mniambie Nina la kusema, rafiki yangu Kathbet utanisamehe!

I told you one day the history will be different! Wizi wizi wizi wizi kila sehemu


Britanicca
 
Pamoja na ushahidi huu bado Sukuma gang watakwambia ni propaganda na CAG anatumika kumchafua Kiongozi wa Malaika huko Kaburini 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…