OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mwana FAKuna maboga matupu hicho kinachoitwa bunge, nani wa kuchambua taarifa hiyo?
Kakakuona huyoMwana FA
Kuna maboga matupu hicho kinachoitwa bunge, nani wa kuchambua taarifa hiyo?
Kuna bunge au safu iliyoandaliwa kupitisha Rais wa Milele. Mungu naye kiboko. Bora wawasilishe kwa wananchi ndiko wanapata maoni.Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake bungeni.
Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.
Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi.
Usiondoke
Sawa,Ngoja tuone waliohusika wote wawajibishwe,hasa kama kulikuwa na maagizo kutoka juu ya kutekeleza maagizo ya kisiasa kwa shughuli ambazo hazikuwa kwenye bajeti ya halmashauri husikaNimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake bungeni.
Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.
Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi.
Usiondoke
Jambazi sugu kabisa...Magufuli alikuwa fisadi.
Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake bungeni.
Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.
Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi.
Usiondoke
Nilikupeza AsprinJambazi sugu kabisa...
Hawa kazi yao haikuwa kupitisha mitano tena? Yaani atake, asitake?Sawa, kina babu tale na gwajima wataichambua