CAG kuwasilisha ripoti yake leo Bungeni, uozo kuwekwa hadharani

CAG kuwasilisha ripoti yake leo Bungeni, uozo kuwekwa hadharani

Japo ungeniambia chumbani ingependeza zaidi...

Maana wewe ni mama D na mimi ni baba C.

Lila na fila havitangamani, wahenga walisema
ushauzwa wewe kama hujui

hahaaaaaaaa mm yangu macho tu hapa
 
Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni.

Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.

Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi.

Usiondoke
Report ya CAG Kwenye halmashauri Hainan uhalisia halmashauri tunapata hati safi kwakuwa tu ma DED Wanahonga wafanyakazi wa CAG.vinginevyo hati safi angekuwa ndoto kote
 
Babu Tale nakuaminia report ikija wabane kweli kweli 😅 😅 😅
 
Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni.

Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.

Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi.

Usiondoke
Unaambiwa uozo uliowekwa hadharani haujawahi kuwepo tangu nchi hii ivumbuliwe na Wazungu !
 
Mwendazake alikuwa fisadi wa karne ya zamani sana aliyefanikiwa kutawala katika karne yenye maendeleo makubwa ya sayansi ya teknolojia. Alijua kila kitu atakificha na watanzania watabaki giza lakin Mungu kamshughulikia hatimaye sasa maovu yote yanawekwa hadharani.

Mwendazake alihamisha vote ya ATCL kwenda vote ya ikulu ili isikaguliwe, ona sasa imekaguliwa na maouvu yote yanaanza kujulikana. Ujinga kabisa huuu.

Endelea kushughulikiwa huko uliko.
 
Back
Top Bottom