CAG kuwasilisha ripoti yake leo Bungeni, uozo kuwekwa hadharani

CAG kuwasilisha ripoti yake leo Bungeni, uozo kuwekwa hadharani

Uozo kuwekwa wazi ? Mhh I doubt ni harufu tu ndio itasikika uozo sidhani
 
Asa mbona inbobo yangu iko wazi masaa yote? Au Baba D ana pasiwedi yako?

Mwambie apunguze wivu, dunia na viumbe vyake ni vyetu sote

Nimeona nikuambie tuu hapa barazani lol
 
Nimeona nikuambie tuu hapa barazani lol
Japo ungeniambia chumbani ingependeza zaidi...

Maana wewe ni mama D na mimi ni baba C.

Lila na fila havitangamani, wahenga walisema
 
Japo ungeniambia chumbani ingependeza zaidi...

Maana wewe ni mama D na mimi ni baba C.

Lila na fila havitangamani, wahenga walisema
Wacha tuu tubaki hapa panatosha maana kila mtu ana fungu lake
 
Turudi kwenye mada sasa, maana kama mama anapita hapa hachelewi kuamini, akatuzingua.

Tusichakachue ripoti ya CAG, mama anataka akaifanyie kazi...

Tunataka kuona uwajibikaji na uwajibishwaji
 
Kwanini hizi report wasitupositie mapema kwenye website yao ya Naot.go.tz. wanasubiria zikiisha utamu ndio wapost. Sasa website za nini kama hakuna uwazi kwa jamii. Kazi kupost tu shukurani na pongezi za teuzi badala ya kutuwekea mambo ya msingi ambayo kila mlipa kodi anataka ajue hela yake ya kodi imetumiakaje.
 
Asa mbona inbobo yangu iko wazi masaa yote? Au Baba D ana pasiwedi yako?

Mwambie apunguze wivu, dunia na viumbe vyake ni vyetu sote
Hebu kaeni kwenye mada husika.
 
Back
Top Bottom