Mama D, kwa kiswahili hapa ulitaka kumaanisha nini?Nilikupeza Asprin
[emoji23][emoji23]Sawa, kina babu tale na gwajima wataichambua
jinsi CCM walivyoibaNa tusubiri uwajibikaji na uwajibishwaji
Hicho ndio kiswahili Asprin😆Mama D, kwa kiswahili hapa ulitaka kumaanisha nini?
"Kunipeza" ndo kusema unanipenda au?Hicho ndio kiswahili Asprin😆
Wewe unajua lugha gani😂😂😂😂
jinsi CCM walivyoiba
Hapanaaaaa ni kusema nimeku-miss"Kunipeza" ndo kusema unanipenda au?
Asa mbona inbobo yangu iko wazi masaa yote? Au Baba D ana pasiwedi yako?Hapanaaaaa ni kusema nimeku-miss
Asa mbona inbobo yangu iko wazi masaa yote? Au Baba D ana pasiwedi yako?
Mwambie apunguze wivu, dunia na viumbe vyake ni vyetu sote
Japo ungeniambia chumbani ingependeza zaidi...Nimeona nikuambie tuu hapa barazani lol
Wacha tuu tubaki hapa panatosha maana kila mtu ana fungu lakeJapo ungeniambia chumbani ingependeza zaidi...
Maana wewe ni mama D na mimi ni baba C.
Lila na fila havitangamani, wahenga walisema
Basi sawa. Maana mipango ya Mungu haina makosa lolWacha tuu tubaki hapa panatosha maana kila mtu ana fungu lake
Kabisa kabisaBasi sawa. Maana mipango ya Mungu haina makosa lol
Turudi kwenye mada sasa, maana kama mama anapita hapa hachelewi kuamini, akatuzingua.Kabisa kabisa
Turudi kwenye mada sasa, maana kama mama anapita hapa hachelewi kuamini, akatuzingua.
Tusichakachue ripoti ya CAG, mama anataka akaifanyie kazi...
Hebu kaeni kwenye mada husika.Asa mbona inbobo yangu iko wazi masaa yote? Au Baba D ana pasiwedi yako?
Mwambie apunguze wivu, dunia na viumbe vyake ni vyetu sote