binafsi sidhani kama hilo ni tatizo ingawaje sina uwelewa zaidi yake yeye ni mtaalamu na amefanya kazi na serikali hivyo anajua anachokiongea lkn nadhani tatizo ni aina ya " wafanyabiashara" walioko tanzagiza, wote siyo waafrika ni arabs, indians, pakis the manji type these people can live anywhere dunia hii kwao cha muhimu ni pesa tu wakibanwa tanzagiza wataenda zambia au kenya, lkn kama tungeweza ku-groom watu wenyewe i.e black people na kuwawezesha kuwa wafanyabisahra wakubwa kungekuwa hakuna tatizo lolote hata kama wangekuwa raisi wa nchi.
mfano mzuri ni R.Mengi kama angepata kuwa raisi raisi angeifanyia kazi nchi yake kwa maana alikuwa na uchungu nayo, alikuwa ni wa hapa hapa, alikuwa anasaidia machinga kujiinua, hivyo tatizo la tanzagiza kwa maoni yangu siyo wafanyabiashara kuingia kwenya siasa bali ni aina ya wafanyabiashara waliopo, they have no have stake in the country wako hapa kuchuma tu kikiwaka wanahamia kwingine kama manji, sijui somaia baada ya kufanya umafia na ufisadi mkubwa akahama nchi kukimbilia uingereza hata akina rostamu niliskia kuna kipindi walihamia dubai na ndio maana viwanda vyake kajengea kenya ingawaje hela anaichukulia tanzagiza ...