Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
State capture!Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad
Profesa Assad amezungumza hayo kwenye kipindi Jahaza cha Clouds Fm
Sasa tuna tawaliwa na wauza mafuta, wauza matairi wa Kariakoo, wamiliki wa mabasi na malori. Bei ya mafuta haiwezi kushuka.Ujamaa ulifeli na ndio sababu ya mwalimu kung'atuka ili kukwepa aibu ya kuwalaghai watanganyika miaka kibao kwa sera ya ujamaa ambayo kiuhalisia haitekelezeki
Ubepari una nguvu sanaSasa tuna tawaliwa na wauza mafuta, wauza matairi wa Kariakoo, wamiliki wa mabasi na malori. Bei ya mafuta haiwezi kushuka.
SGR, Reli ya TAZARA, Bwawa la Nyerere. Hii ni miradi ambayo inasuasua, kwasababu ya Wanasiasa kuingia kwenye Biashara.Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad
Avatar yako na unachokitetea ni mbingu na aridhiUjamaa ulifeli na ndio sababu ya mwalimu kung'atuka ili kukwepa aibu ya kuwalaghai watanganyika miaka kibao kwa sera ya ujamaa ambayo kiuhalisia haitekelezeki
Huyu mtu ni bomu linalotembea tu linaweza kulipukia popote. Sasa tuna vyama vingi utawezaje kusema wafanya biashara wasifanye siasa? Wakiwa wafanyakazi na wakulima tu utaweza kuwazuia wasiwe wafanya biashara? Je una chama chenye nidhamu ya kuweza kuzuia wafanya biashara wasiingie bungeni kuendeleza maslahi yao kuwanyonya raia? Chama cha mapinduzi chenye kusema itikadi yake ni ujamaa na kujitegemea ndio kwanza kimeshikwa na wafanya biashara, wachuuzi na wapenda rushwa. CCM hizi leo kiongozi kusimama kusema wao ni chama cha kijamaa ni nadra ni sawa na ngamia kapenya kwenye shimo la sindano. Viongozi wa ccm wanaogopa kuzungumzia ujamaa. Ujamaa huu tu wa kuleta usawa na kuweka mbele maslahi ya umma na kujenga taifa la kujitegemeaKosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad
Profesa Assad amezungumza hayo kwenye kipindi Jahaza cha Clouds Fm
Naona hoja ya Wafanyabiashara kuingia kwenye umeipita kama huoni vile.Ujamaa ulifeli na ndio sababu ya mwalimu kung'atuka ili kukwepa aibu ya kuwalaghai watanganyika miaka kibao kwa sera ya ujamaa ambayo kiuhalisia haitekelezeki
Hoja ilikuwa mgongano wa kimaslahi na miiko ya viongozi hapa nchini hata wakulima huwa wafanya biasashara pia lakini tuna hiyo miiko?Huyu mtu ni bomu linalotembea tu linaweza kulipukia popote. Sasa tuna vyama vingi utawezaje kusema wafanya biashara wasifanye siasa? Wakiwa wafanyakazi na wakulima tu utaweza kuwazuia wasiwe wafanya biashara? Je una chama chenye nidhamu ya kuweza kuzuia wafanya biashara wasiingie bungeni kuendeleza maslahi yao kuwanyonya raia? Chama cha mapinduzi chenye kusema itikadi yake ni ujamaa na kujitegemea ndio kwanza kimeshikwa na wafanya biashara, wachuuzi na wapenda rushwa. CCM hizi leo kiongozi kusimama kusema wao ni chama cha kijamaa ni nadra ni sawa na ngamia kapenya kwenye shimo la sindano. Viongozi wa ccm wanaogopa kuzungumzia ujamaa. Ujamaa huu tu wa kuleta usawa na kuweka mbele maslahi ya umma na kujenga taifa la kujitegemea
Nchi za dunia ya tatu hazina taasisi imara za kudhibiti wafanya biashara wasifanye wapendavyo tofauti na nchi za dunia ya kwanza.sio rahisi rostam kufurahia mapendeleo ya nchi wakati yeye ana deals nyingi haramu na viongoziTUMEKOSA TAASISI IMARA.
NCHI INANUKA RUSWA.
AWADANGANYE WATOTO.