FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.TAWHEED DEVELOPMENT NETWORK
Taasisi ya hija na Umrah
TANZIA
INNALILLAH WAINALILLAH RAJIUNA
**********
Mkurugenzi wa Tawheed Development Network Profesa Musa Juma Assad anatangaza msiba wa katibu wa TAWHEED Dr Badria Bave Msambichaka kilichotokea ghafla usiku wa jana jumanne tarehe 16 Aprili 2024
MAREHEMU DR BADRIA AMBAYE NDIYE MKEWE PROFESA ASSAD ATAZIKWA LEO SAA KUMI MAKABURI YA MWINYI MKUU MAGOMENI DSM NA MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE TEGETA
Hakika msiba ni Qadar .Marehemu Dr Badria amehitimu shahada ya PhD ughaibuni hivi karibuni.
Lakini pia amekuwa nchini India hospitali kwa muda mrefu sana akimuuguza mwanae wa mwisho.
WanaTawheed wote wakiwemo mahujaji na waislamu wote wanamuombea msamaha kwa mwenyezi Mungu amzidishie nuru kaburini kwake amjaalie firdausi kwa kuwakirimu na kuwahudumia mahujaji maishani mwake...
Tunaiombea Subra familia ndugu jamaa na marafiki
LEO TUPO KESHO HATUPO TUTENDE WEMA KABISA
Innalillah wainalillah Rajiina
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Juma Nchia
Afisa habari Tawheed.
0784822332
Tarehe 17 /4/2024.Saa:2:00 Asubuhi
Dodoma.