binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
RIP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sasa mtu kajifia huko mparanyaki hospital ipo km 200 unategemea nini.Sio kweli . Kwa zamani inawezekana sio kwa sasa
Unazikwa chap chap kama lofaWaislamu huwa wana niacha hoi hapo kwenye kuzika haraka, mtu amefariki leo leo na leo leo anazikwa
Kabla yakuzika,madaktari wanahakikisha kifo cha aliyekufa.Na kabla ya kuwepo madaktari au ikiwa hawapo,wapo watu wa kawaida wana vipaji vya kujua mtu aliyefariki.Hili jambo wakati mwingine ni jambo jema lakini hizi haraka haraka mnaweza kumzika mtu aliyezimia tu.
Kwa hio kazikwa usiku saa 5 kama paka? Halafu shughuli zote mpk mazishi yanamaliza majirani hawana habari!!!!?Mimi nauhakika wengi tushazika wakiwa wamezimia, kuna jirani yetu miaka ya nyuma alifariki usiku kama wa saa 5 hivi, asubuhi baadhi ya majirani wanaamka wanashangaa msiba na maiti ishazikwa.
Mwenyezi amrehemu.
Kama kazimia tu hajafa, basi tendo la kumkamua Lita saidia sana kum maliza. Wataalam wa afya ya binadamu watusaidie hapo.
Kwa uzoefu wangu mdogo wanaume wengi wa kiislamu ndio huwaishwa sana kuzikwa kuliko wanawake. MSAFARA wa mwanaume anaenda kuzikwa watu hukimbia na maiti utafikiri unapishana na ndege wakiwa wamembeba kuelekea makaburini ya mwanamke haikimbizwi huenda mwendo wa kawaidaMimi nauhakika wengi tushazika wakiwa wamezimia, kuna jirani yetu miaka ya nyuma alifariki usiku kama wa saa 5 hivi, asubuhi baadhi ya majirani wanaamka wanashangaa msiba na maiti ishazikwa.
Mwenyezi amrehemu.
I think it was kinda family businessMume mkurugenzi, mke katibu!
Kuminya, Kukandamiza tumbo kwa nguvu ili kilichopo kitoke. Hii ni pamoja na kuvuta na kukunja viuongo vya mwili ili vilegee. Ndio kukamua niliko maanisha. MadameWe inajua anakamuliwa kama vipi mkuu?
Halafu kile kinachotoka wakikamua huwa wanakipeleka wapi?Kuminya, Kukandamiza tumbo kwa nguvu ili kilichopo kitoke. Hii ni pamoja na kuvuta na kukunja viuongo vya mwili ili vilegee. Ndio kukamua niliko maanisha. Madame
Kwa kweli mimi sijui sababu mimi ni wa upande wa piliHalafu kile kinachotoka wakikamua huwa wanakipeleka wapi?
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.