TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

Waislamu huwa wana niacha hoi hapo kwenye kuzika haraka, mtu amefariki leo leo na leo leo anazikwa
Unazikwa chap chap kama lofa

Mke wa Assad atazikwa kesho sio leo imeahirishwa .Ni.mke wa mtu maarufu hawezi zikwa chapchap

Hawezi zikwa makaburi ya malofa Magomeni na kuswaliwa msikiti wa malofa magomeni ndio maana imeahirishwa asizikwe chapchap nadhani sina uhakika

Ataswaliwa kesho msikiti wa viongozi yaani Maamur na maimamu wa kueleweka wenye hadhi na kuzikwa makaburi ya watu maarufu Kisutu katikati ya jiji sio huko uswahilini Magoneni

Msiba mzito wa muislamu mzito huwa hazikwi chapchap kama marehemu malofa waislamu wakifa.Hapo kuruani lazima ipigwe chenga kama ilivyopigwa chenga kwa huyu mmojawapo wa wake wa Professor Assad sio mke pekee anao wengine

Ilitakiwa iandikwe mmojawapo wa wake wa ndoa wa Professor Assad afariki dunia

Lofa hata ukizimia tu waislamu wakihisi tu kuwa kama huyu kafa kaa chonjo waweza kuzikwa chapchap ukafa kweli
Hakuna maigizo ya kufa kwenye uislamu kaa chonjo .
 
Shura ya maimamu waje humu kufafanua kwa nini marehemu hakuzikwa chap chap kama imani ya kiislamu inavyotaka hadi imeahirishwa hadi kesho kinyume na maagizo ya mtume Mohamed SAW
 
Hili jambo wakati mwingine ni jambo jema lakini hizi haraka haraka mnaweza kumzika mtu aliyezimia tu.
Kabla yakuzika,madaktari wanahakikisha kifo cha aliyekufa.Na kabla ya kuwepo madaktari au ikiwa hawapo,wapo watu wa kawaida wana vipaji vya kujua mtu aliyefariki.
 
Mimi nauhakika wengi tushazika wakiwa wamezimia, kuna jirani yetu miaka ya nyuma alifariki usiku kama wa saa 5 hivi, asubuhi baadhi ya majirani wanaamka wanashangaa msiba na maiti ishazikwa.

Mwenyezi amrehemu.
Kwa hio kazikwa usiku saa 5 kama paka? Halafu shughuli zote mpk mazishi yanamaliza majirani hawana habari!!!!?
Yawezekana...sibishi maana sijaona yote bado
 
Mimi nauhakika wengi tushazika wakiwa wamezimia, kuna jirani yetu miaka ya nyuma alifariki usiku kama wa saa 5 hivi, asubuhi baadhi ya majirani wanaamka wanashangaa msiba na maiti ishazikwa.

Mwenyezi amrehemu.
Kwa uzoefu wangu mdogo wanaume wengi wa kiislamu ndio huwaishwa sana kuzikwa kuliko wanawake. MSAFARA wa mwanaume anaenda kuzikwa watu hukimbia na maiti utafikiri unapishana na ndege wakiwa wamembeba kuelekea makaburini ya mwanamke haikimbizwi huenda mwendo wa kawaida

Wanawake waweza cheleweshwa sio wanaume hicho kitu kilinisumbua kujua sababu mpaka baadaye nilipojua kuwa mwanaume wa kiislamu akifa anatakiwa azikiwe chapchap kuwahi mabikira 72 aliohidiwa na Allah ila wanawake hawana cha kuwahi watazikwa muda wowote unao swihi

Takbiriiiiiiiii
 
We inajua anakamuliwa kama vipi mkuu?
Kuminya, Kukandamiza tumbo kwa nguvu ili kilichopo kitoke. Hii ni pamoja na kuvuta na kukunja viuongo vya mwili ili vilegee. Ndio kukamua niliko maanisha. Madame
 
Kuminya, Kukandamiza tumbo kwa nguvu ili kilichopo kitoke. Hii ni pamoja na kuvuta na kukunja viuongo vya mwili ili vilegee. Ndio kukamua niliko maanisha. Madame
Halafu kile kinachotoka wakikamua huwa wanakipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom