TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
Tatizo linakuja pale ambapo mtu kazimia,na anazikwa harakaharaka,na ukizingatia Kila utaratibu una faida zake na hasara zake,yaani ni tafrani.
Kuna watu wanazimia masaa hata 24,mapigo ya MOYO yanakua chini sana,bilashaka wengi walishazikwa kimakosa.
 
huwezi zimia ukaacha kuamka kwenye kukamuliwa uchafu.... ingekua wanazika na uchafu tumboni hapo wengi wangezikwa hai
 
Waina lilah waina ilah raajun..Pole sana Prof Asad na familia yako
 
Mimi nauhakika wengi tushazika wakiwa wamezimia, kuna jirani yetu miaka ya nyuma alifariki usiku kama wa saa 5 hivi, asubuhi baadhi ya majirani wanaamka wanashangaa msiba na maiti ishazikwa.
Miaka ya nyuma Bibi mmoja wa Kisomali akiishi maeneo ya Kaloleni aligongwa na gari saa 11 jioni akazikwa saa 1 usiku na taa za chemli !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…