TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

Pole sana Prof mwenye hekima zake.
 
Kila nafsi itaonja mauti Allah ampe kauli thabiti amundolee adhabu ya kabri!
 
Pole sana kwake.
 
R.i.P Classmate...😥
Nimeumia sana kwa msiba huu wa ghafla...😓
Pole kwa Prf Asad, Allah ampe moyo wa imani ili avuke vyema katika wakati huu mgumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…