CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Kwa kifupi ATC hawajawahi kupata faida sasa jiwe na genge lake Daaah
Unafurahii kusikia haijapata faida...faida na hasara ni lugha pana sana...Nilipe kwanza nitakwambia kwanini kama sivyo angalia siku nyingine ukiwa na watu wenye uelewa usijejisemesha watakushangaa!
 
Mi nawaambiaga lakini hawanielewagi hawa watu. Tuna serikali likubwa wafanyakazi wa kuanzia watendaji wa kata hadi wa huko juu wote wanategemea kodi za wafanyabiashara. Halafu bado watu wanataka mishahara ipande kila mwaka, ipande kwa kodi zipi?
Ni kwa mujibu wa sheria.
Kwa JK alikuwa anapata wapi kila mwaka alikuwa anapandisha mishahara?
 
KAKURUPUKA huyo Mkuu. Hakuwahi kuendesha shirika la ndege popote pale duniani hiyo conclusion yake ni UCHWARA halafu kaminya kuhusu faida itapatikana baada ya muda gani.
Unataka kusema keshatumika hapo?
 
Unafurahii kusikia haijapata faida...faida na hasara ni lugha pana sana...Nilipe kwanza nitakwambia kwanini kama sivyo angalia siku nyingine ukiwa na watu wenye uelewa usijehisemesha watakushangaa!
Jamaa ujue huu ujinga uloandka nimemwonyesha mtoto wng wa standard two akaniulza baba mbona huyu kwa uandsh wake anaonekana ni tahira yuko milembe au sku hz wagonjwa wa milembe wanatumia simu.
 
Jamaa ujue huu ujinga uloandka nimemwonyesha mtoto wng wa standard two akaniulza baba mbona huyu kwa uandsh wake anaonekana ni tahira yuko milembe au sku hz wagonjwa wa milembe wanatumia simu.
Aise! Mpe hongera
 

Toka dhalimu aondoke taratibu uhuru wa vyombo vya habari unaanza kurejea. Mijadala stahiki inaanza kurindima. Ndani ya miaka mitano iliyopita mijadala ya hivi ilikuwa haitakiwi, na kama ikifanyika ilikuwa ni ya kinafiki, hofu na kumpaka ibilisi mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
kifupi Tanzania toka tupate uhuru hatujwahi kuwa na mchumi au statitician mhasibu CAG wengi Ni wakariri masomo tu wa CPA YA tanzania ni wajinga mno .Hawajui kuja financial analyisis ya shirika la umma linalomilikiwa asilimia mia moja na serikali na la private

NBAA FUTENI CPA inazalisha akina UTOH na PROFESSOR ASSAD NK hawajui kufanya analyisisis ya shirika linalomilikiwa asilimia 100 na serikali na la binafsi wanatumia vigezo vya shirika binafsi ku evaluate shirika linalomilikiwa hundred percent na serikali

ATCL MFANO VAT zote zinaenda serikalini, parking fees zote zinaenda serikalini, landing fees zote zinaenda serikalini, AIRPORT charges ZINGINE ZOTE nk zinaenda serikalini ambaye ni owner wa asilimia 100 wa ATC huwezi treat kama COST OF OPERATIONS hizo ni other income to the owner wa ATCL ambaye ni serikali kutreat kama expenditure si sahihi huyu UTOH mjinga tu ana CPA ya TANZANIA ambayo iko too low hata kama alipewa U CAG HANA AKILI yeye na PROFESSOR ASSAD akili hawana. Hawajui kufanya analyisis ya shirika la ndege private na ambalo asilimia mia 100 linamilikiwa na serikali

Mama SAMIA naomba CAG AJAYE tafuta mwenye ACCA sio CPA tafadhali kama Tanzania hawapo ajiri expertriate
 
KAKURUPUKA huyo Mkuu. Hakuwahi kuendesha shirika la ndege popote pale duniani hiyo conclusion yake ni UCHWARA halafu kaminya kuhusu faida itapatikana baada ya muda gani.
Kuna ka ukweli Mkuu. Si rahisi kupata faida mara tu unapoanzisha biashara. Lakini ni muhimu kujua lini utaanza kupata faida itakayofidia hasara za mwanzo. Ukiona unaendelea kupata hasara bila tegemeo lolote la faida huko mbeleni unatakiwa ku cut your loses na kuachana na hiyo biashara. Tofauti ni kama unafanya hiyo biashara kwa sifa tu au kutoa huduma na una uwezo wa kuibeba kwa sababu vyanzo vyako vingine vinafidia hasara unayoipata. Hali sio hivyo kwa ATCL. Shirika lina madeni ambayo yanaizuia kufanya biashara katika sehemu ambazo ndio soko kuu. Shirika halituambii lini linategemea ku break even lakini kidogo walicho nacho wanakitoa serikalini kama "dividend". Taifa letu halina pesa za kuchezea kiasi hicho.

Amandla...
 
Ni kwa mujbu wa sheria.
Kwa jk alikuwa anapata wp kila mwaka alikuwa anapandsha mishahara?
Kama unataka kodi zitumike kujilipa nyongeza za mishahara na marupurupu na mazagazaga mengine isiwe tabu. Mwambieni maza afanye kama JK. Hand to mouth!

Kuishi nchi moja na raia wasiotaka makubwa tabu kweli kweli.
 
Tatizo lako ndugu yangu ni pingapinga tu! Hata viongozi wako wanakiri tatizo si kununua ndege au kufufua ATCL bali namna manunuzi yalivyofanyika! Siasa zetu zimejaa kelele kuliko kujua watu wanasimamia principles zipi [emoji855]
 
Sasa wewe umejenga argument ambayo wapenda mijadala wanaweza kujadili ...
 
Ungekuwa unajua go slow ya Wafanyakazi wa Serikali kwa kutoongezewa mishahara kwa miaka sita usingeandika huu upumbavu wako.
Wafanyakazi wanaishi kwa mikopo chungu nzima kutokana na gharama za maisha kupanda sana ndani ya miaka mitano lakini mishahara imebaki pale pale.
Mishahara inapokuwa mikubwa watu hujiongeza kwa kufungua biashara zao na kujiongeza kipato ili kukidhi gharama zao za maisha na haya ndiyo yanayofanya nchi nyingi duniani kuendelea kwamba Wafanyakazi wana vipato vikubwa hivyo huweza kufanya investments mbali mbali zenye faida na hivyo kuongeza vipato vyao na pato la Taifa pia lakini Tanzania hakuna hilo kwani wengi wana mishahara midogo sana matokeo yake mtu ana mikopo minne au hata mitano tofauti. Mishahara ikiingia wanaanza kufikiria walipe deni lipi kwanza. Fungua akili yako.

 
Napinga kwa kutumia akili na sijawahi kukosea. Na mimi sina undugu na VILAZA. Kile nilichopinga nimekuwa sawa siku zote.
Tatizo lako ndugu yangu ni pingapinga tu! Hata viongozi wako wanakiri tatizo si kununua ndege au kufufua ATCL bali namna manunuzi yalivyofanyika! Siasa zetu zimejaa kelele kuliko kujua watu wanasimamia principles zipi [emoji855]
 
Unateseka ukiwa wapi ndugu!? hiyo kudouble bajeti ya afya ni kwenye makaratasi na mdomoni tu, lakini uhalisia hamna kitu, fuatilia mijadala ya bunge kabla ya uchaguzi 2020 usikie wabunge walisema nini?
 

Usisahau kuwa lengo kubwa la Magufuli lilikuwa kuinua “prestige” ya taifa kuwa na “flag carrier” yetu wenyewe. Ni dhana iliyopitwa na wakati na usafiri wa ndege wala kuja kwa watalii nchini hakujawahi kuwa tatizo.

Hata Kenya na Afrika ya Kusini watalii huletwa kwa wingi zaidi na mashirika makubwa kama Emirates, BA, Air France, Lufthansa, KLM, n.k. SAA na Kenya Airways mchango wao ni mdogo sana. Sasa hivi nchi hizo zinahangaika na namna ya kujitua mizigo ya mashirika hayo. Na hutasikia hoja kwamba yasipokuwepo utalii utaathirika.
 

Nyie ni baadhi ya watu mliokuwa mnalishwa Matango pori kipindi cha utawala wa kupika data. Taarifa ya CAG inaonyesha MSD taasisi ya dawa ilipata budget ya chini ya 5%. Sasa unaposema eti aliongeza budget ya social service 3 times wakati ukweli sio huo, hapo tunajua mtaji wake mkubwa ulikuwa ni watu wajinga wasioweza kuhoji lolote. Ndio maana aliweza kufanya usanii wa mashirika ya umma kutoa gawio, wakati ni dhahiri mashirika hayo yalikuwa yanapata hasara.
 
Nyanoko..usongelee watumishi narudia tena achana nasisi kabisa..unatuchefua...huyo magu aliminya sana maslahi ya watumishi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…