Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilikuwa kitu kingine!Nikikumbuka lile gawio la ATCL 28 Billion kwa serikali, kuumbe ni kutuchezea akili.
Asante Mungu kwa kututolea michwa mapema maana wangemaliza nchi
Unafurahii kusikia haijapata faida...faida na hasara ni lugha pana sana...Nilipe kwanza nitakwambia kwanini kama sivyo angalia siku nyingine ukiwa na watu wenye uelewa usijejisemesha watakushangaa!Kwa kifupi ATC hawajawahi kupata faida sasa jiwe na genge lake Daaah
Ni kwa mujibu wa sheria.Mi nawaambiaga lakini hawanielewagi hawa watu. Tuna serikali likubwa wafanyakazi wa kuanzia watendaji wa kata hadi wa huko juu wote wanategemea kodi za wafanyabiashara. Halafu bado watu wanataka mishahara ipande kila mwaka, ipande kwa kodi zipi?
Kitu gani sasa, Usitufanye na ww kama Mwendazake basiKilikuwa kitu kingine!
Unataka kusema keshatumika hapo?KAKURUPUKA huyo Mkuu. Hakuwahi kuendesha shirika la ndege popote pale duniani hiyo conclusion yake ni UCHWARA halafu kaminya kuhusu faida itapatikana baada ya muda gani.
Jamaa ujue huu ujinga uloandka nimemwonyesha mtoto wng wa standard two akaniulza baba mbona huyu kwa uandsh wake anaonekana ni tahira yuko milembe au sku hz wagonjwa wa milembe wanatumia simu.Unafurahii kusikia haijapata faida...faida na hasara ni lugha pana sana...Nilipe kwanza nitakwambia kwanini kama sivyo angalia siku nyingine ukiwa na watu wenye uelewa usijehisemesha watakushangaa!
Aise! Mpe hongeraJamaa ujue huu ujinga uloandka nimemwonyesha mtoto wng wa standard two akaniulza baba mbona huyu kwa uandsh wake anaonekana ni tahira yuko milembe au sku hz wagonjwa wa milembe wanatumia simu.
CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake.
Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends
Uttoh amesema kwa uelewa wake ATCL haijawahi kulipa dividend kwa serikali, na kama kuna fedha ziligawiwa kwa serikali na ATCL hicho ni kitu kingine siyo dividend
CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanaykfanya?!
Source: ITV kipindi cha Kipima Joto
Kuna ka ukweli Mkuu. Si rahisi kupata faida mara tu unapoanzisha biashara. Lakini ni muhimu kujua lini utaanza kupata faida itakayofidia hasara za mwanzo. Ukiona unaendelea kupata hasara bila tegemeo lolote la faida huko mbeleni unatakiwa ku cut your loses na kuachana na hiyo biashara. Tofauti ni kama unafanya hiyo biashara kwa sifa tu au kutoa huduma na una uwezo wa kuibeba kwa sababu vyanzo vyako vingine vinafidia hasara unayoipata. Hali sio hivyo kwa ATCL. Shirika lina madeni ambayo yanaizuia kufanya biashara katika sehemu ambazo ndio soko kuu. Shirika halituambii lini linategemea ku break even lakini kidogo walicho nacho wanakitoa serikalini kama "dividend". Taifa letu halina pesa za kuchezea kiasi hicho.KAKURUPUKA huyo Mkuu. Hakuwahi kuendesha shirika la ndege popote pale duniani hiyo conclusion yake ni UCHWARA halafu kaminya kuhusu faida itapatikana baada ya muda gani.
Kama unataka kodi zitumike kujilipa nyongeza za mishahara na marupurupu na mazagazaga mengine isiwe tabu. Mwambieni maza afanye kama JK. Hand to mouth!Ni kwa mujbu wa sheria.
Kwa jk alikuwa anapata wp kila mwaka alikuwa anapandsha mishahara?
Tatizo lako ndugu yangu ni pingapinga tu! Hata viongozi wako wanakiri tatizo si kununua ndege au kufufua ATCL bali namna manunuzi yalivyofanyika! Siasa zetu zimejaa kelele kuliko kujua watu wanasimamia principles zipi [emoji855]Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Sasa wewe umejenga argument ambayo wapenda mijadala wanaweza kujadili ...Mzee uttoh yuko sahihi kabisa, mashirika yote ya ndege huwa hayaleti faida ya moja kwa moja kwa taifa. Biashara ya ndege kama yenyewe huwa haiingizi faida, ila faida zake huja kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo safari hizo za ndege hufanikisha ndani ya nchi husika.
Mfano mzuri shirika kubwa kama la Fly-Emirates au Air-China hayapati faida za moja kwa moja, lakini shughuli za kiuchumi ambazo haya mashirika yamezifanyikisha ndizo huingiza faida. Fly-Emirates linafanikisha shughuli za kiutalii na biashara ya kimataifa ndani ya ile falme ya Kiarabu.
Faida ambazo zinapatikana kutoka kwenye utalii na biashara ya kimataifa ndiyo hutumika kufidia (Compensate) gharama ya uendeshaji wa shirika la Fly-Emirates. Biashara ya ndege ina gharama kubwa sana kuendesha, na mashirika yanayoingiza faida kama Ethiopian Airlines hayaingizi kutokana na safari za anga bali kazi nyingine (Kufundisha marubani na wahudumu, pamoja na kufanya marekebisho ya ndege) ambazo shirika hufanya.
Ambacho sisi hatukukubaliana na Raisi Magufuli ni ile tabia ya kusema unanunua ndege kwa pesa taslimu kuinua UTALII nchini, ilhali umeweka sera mbovu ambazo zinawakimbiza watalii: Hata mpango-mkakati wa biashara hajatupa wananchi.
Lingine ni hili la kununua ndege kwa pesa taslimu bila kuweka wazi mikataba yake linatia ukakasi sana. Jingine shirika bado liko kwenye majaribio ya kufufuliwa na halijasimama vizuri: Tungejaribu kwanza kuchukua ndege chache chini ya Lease (Dry or Wet Leases ) huku tukipima upepo unaendaje.....
BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?
Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?
So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way
Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya amabo hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
Tatizo lako ndugu yangu ni pingapinga tu! Hata viongozi wako wanakiri tatizo si kununua ndege au kufufua ATCL bali namna manunuzi yalivyofanyika! Siasa zetu zimejaa kelele kuliko kujua watu wanasimamia principles zipi [emoji855]
Unateseka ukiwa wapi ndugu!? hiyo kudouble bajeti ya afya ni kwenye makaratasi na mdomoni tu, lakini uhalisia hamna kitu, fuatilia mijadala ya bunge kabla ya uchaguzi 2020 usikie wabunge walisema nini?BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?
Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?
So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way
Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya amabo hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
Mzee uttoh yuko sahihi kabisa, mashirika yote ya ndege huwa hayaleti faida ya moja kwa moja kwa taifa. Biashara ya ndege kama yenyewe huwa haiingizi faida, ila faida zake huja kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo safari hizo za ndege hufanikisha ndani ya nchi husika.
Mfano mzuri shirika kubwa kama la Fly-Emirates au Air-China hayapati faida za moja kwa moja, lakini shughuli za kiuchumi ambazo haya mashirika yamezifanyikisha ndizo huingiza faida. Fly-Emirates linafanikisha shughuli za kiutalii na biashara ya kimataifa ndani ya ile falme ya Kiarabu.
Faida ambazo zinapatikana kutoka kwenye utalii na biashara ya kimataifa ndiyo hutumika kufidia (Compensate) gharama ya uendeshaji wa shirika la Fly-Emirates. Biashara ya ndege ina gharama kubwa sana kuendesha, na mashirika yanayoingiza faida kama Ethiopian Airlines hayaingizi kutokana na safari za anga bali kazi nyingine (Kufundisha marubani na wahudumu, pamoja na kufanya marekebisho ya ndege) ambazo shirika hufanya.
Ambacho sisi hatukukubaliana na Raisi Magufuli ni ile tabia ya kusema unanunua ndege kwa pesa taslimu kuinua UTALII nchini, ilhali umeweka sera mbovu ambazo zinawakimbiza watalii: Hata mpango-mkakati wa biashara hajatupa wananchi.
Lingine ni hili la kununua ndege kwa pesa taslimu bila kuweka wazi mikataba yake linatia ukakasi sana. Jingine shirika bado liko kwenye majaribio ya kufufuliwa na halijasimama vizuri: Tungejaribu kwanza kuchukua ndege chache chini ya Lease (Dry or Wet Leases ) huku tukipima upepo unaendaje.....
BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?
Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?
So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way
Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya amabo hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
Nyanoko..usongelee watumishi narudia tena achana nasisi kabisa..unatuchefua...huyo magu aliminya sana maslahi ya watumishi.BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?