Mzee Uttoh yuko sahihi kabisa, mashirika yote ya ndege huwa hayaleti faida ya moja kwa moja kwa taifa. Biashara ya ndege kama yenyewe huwa haiingizi faida, ila faida zake huja kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo safari hizo za ndege hufanikisha ndani ya nchi husika.
Mfano mzuri shirika kubwa kama la Fly-Emirates au Air-China hayapati faida za moja kwa moja, lakini shughuli za kiuchumi ambazo haya mashirika yamezifanyikisha ndizo huingiza faida. Fly-Emirates linafanikisha shughuli za kiutalii na biashara ya kimataifa ndani ya ile falme ya Kiarabu.
Faida ambazo zinapatikana kutoka kwenye utalii na biashara ya kimataifa ndiyo hutumika kufidia (Compensate) gharama ya uendeshaji wa shirika la Fly-Emirates. Biashara ya ndege ina gharama kubwa sana kuendesha, na mashirika yanayoingiza faida kama Ethiopian Airlines hayaingizi kutokana na safari za anga bali kazi nyingine (Kufundisha marubani na wahudumu, pamoja na kufanya marekebisho ya ndege) ambazo shirika hufanya.
Ambacho sisi hatukukubaliana na Raisi Magufuli ni ile tabia ya kusema unanunua ndege kwa pesa taslimu kuinua UTALII nchini, ilhali umeweka sera mbovu ambazo zinawakimbiza watalii: Hata mpango-mkakati wa biashara (Business Plan) hajatupa wananchi. Kila jambo linafanyikia gizani tu....
Lingine ni hili la kununua ndege kwa pesa taslimu bila kuweka wazi mikataba yake linatia ukakasi sana. Halafu shirika bado liko kwenye majaribio ya kufufuliwa na halijasimama vizuri: Tungejaribu kwanza kuchukua ndege chache chini ya Lease (Dry or Wet Leases ) huku tukipima upepo unaendaje.....
Maelezo marefu lakini siyo ya kweli. Kama maelezo yako uangekuwa sahihi, kUsingekuwa na mashirika binafsi ya ndege.
Umeongea kwa kudhania kuwa mashirika yote ya ndege yanamilikiwa na serikali. Usichangie kitu kama huna uhakika.
Profit per passenger at the seven largest U.S. airlines averaged $19.65 over the past four years—record-setting profitable years for airlines. In 2017, it stood at $17.75, based on airline earnings reports.14 Feb 2018.
Which Airlines Have Turned A Profit So Far In 2020?
byPranjal Pande
September 14, 2020
There’s no doubt that 2020 has been a challenging year for airlines. However, a handful of carriers have managed to turn a profit this year. So which airlines have managed to buck the trend?
[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www][
https://simpleflying-com] The two Korean giants, Asiana and Korean Air, both turned a profit in Q2 of 2020. Photo: byeangel via Wikimedia Commons
It should be noted that even profitable airlines have taken a sharp hit in revenue. Most carriers have seen double-digit revenue declines due to low passenger levels. This piece is not exhaustive and covers major airlines who have managed to turn a profit during the crisis despite the sharp downturn.
South Korea shines
The two airlines that stand among the global competition are Korean Air and Asiana. Both carriers suffered losses in the first quarter of 2020 due to a drop in passenger demand from China and the rest of East Asia early in the year. However, the carriers reported substantial profits in the Q2 of 2020.
Korean Air reported a profit of ₩148.5 billion ($125.2 million) for the second quarter, even as revenue shrank by 44%. Asiana reported a ₩115.1 billion ($96.9 million) profit in the same quarter, with revenue falling 45%. According to Korean Investors, falling cargo prices could see profits reduce next quarter.
Ethiopian leads the way
Africa’s largest airline, Ethiopian Airlines, has done well through the pandemic. With a combination of cargo and repatriation flights, the airline has covered all its fixed costs and says it has turned a small profit for the fiscal year that ended in July, its CEO told Bloomberg. The exact figure is not yet known.