CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Ulichokisema mwisho ndiyo nchi inachokifanya siyo Tanzania ni duniani kote...Hayo mashirika siyo binafsi niemeelza over and again!
 
Huyu ndio CAG, sio kina kichere na mwenzie prof uchwara Assad mwenye hasira kama nyangumi.[emoji1][emoji1]joking
 
Bunge nalo Vipi mbona lililipa Serikalini?
 
Wakati wa Magufuli tumeona mengi, Hadi Bunge kidogo watoe gawio[emoji1]
 
Sheria inayataka mashirika ya umma kupeleka gawio serikalini kila mwaka. Sasa hilo gawio wanalitoa wapi kama sio kwenye faida waliozalisha?

Nini mantiki ya kutakiwa kutoa gawio kama hawapaswi kuzalisha faida kwanza?
Wanatoa kwenye turnover siyo profit.

Ni kama vile unavyolipa Vat au zamani sales tax!
 
Na mashirika ya uma kulipa magawio ni sawa na kuhamisha pesa kwenye mifuko yako ama accounts zako mwenyewe...which is totally nonsense kusema ni vitu wiwili tofauti
 
Reactions: BAK
hata Tume ya uchaguzi ilitoa hizo pesa kwa serikali wakati walikuwa wakidaiwa posho na wasimamizi wa uchaguzi.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji23]
 
hata Tume ya uchaguzi ilitoa hizo pesa kwa serikali wakati walikuwa wakidaiwa posho na wasimamizi wa uchaguzi.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji23]
Hizo pesa waliziitaje bwashee?

Gawio au Salio?
 

Mbona una hasira na huyo dikteta au kwa vile alivunja bilicanas ukapoteza kazi ya unenguaji?

Jibu hoja za uthoh kama una uelewa tofauti badala ya kumu attack mtu ambaye hajatoa wazo hapa.

Nachoona kwa uelewa wako ni mdogo ki akiri kama anavyosema msukuma, mnaweza kuwa na elimu lakini kichwani hama kitu.

Ndege zimenunuliwa ili zizalishe ili hao wafanyakazi walipwe kutokana na hizo ndege.
Sasa kama hizo pesa za ndege zikilipwa hao wafanyakazi kisha zitatoka wapi zingine ili walipwe kwa kipindi kingine?
Au zinatosha kwa uhai wa mfanyakazi miaka yote?
Tumieni akili achrni kutumia akili za wanyama wa poli.
 
Maelezo marefu lakini siyo ya kweli. Kama maelezo yako uangekuwa sahihi, kUsingekuwa na mashirika binafsi ya ndege.

Umeongea kwa kudhania kuwa mashirika yote ya ndege yanamilikiwa na serikali. Usichangie kitu kama huna uhakika.

Profit per passenger at the seven largest U.S. airlines averaged $19.65 over the past four years—record-setting profitable years for airlines. In 2017, it stood at $17.75, based on airline earnings reports.14 Feb 2018.

Which Airlines Have Turned A Profit So Far In 2020?

byPranjal Pande

September 14, 2020

There’s no doubt that 2020 has been a challenging year for airlines. However, a handful of carriers have managed to turn a profit this year. So which airlines have managed to buck the trend?

[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www][https://simpleflying-com] The two Korean giants, Asiana and Korean Air, both turned a profit in Q2 of 2020. Photo: byeangel via Wikimedia Commons

It should be noted that even profitable airlines have taken a sharp hit in revenue. Most carriers have seen double-digit revenue declines due to low passenger levels. This piece is not exhaustive and covers major airlines who have managed to turn a profit during the crisis despite the sharp downturn.

South Korea shines

The two airlines that stand among the global competition are Korean Air and Asiana. Both carriers suffered losses in the first quarter of 2020 due to a drop in passenger demand from China and the rest of East Asia early in the year. However, the carriers reported substantial profits in the Q2 of 2020.

Korean Air reported a profit of ₩148.5 billion ($125.2 million) for the second quarter, even as revenue shrank by 44%. Asiana reported a ₩115.1 billion ($96.9 million) profit in the same quarter, with revenue falling 45%. According to Korean Investors, falling cargo prices could see profits reduce next quarter.

Ethiopian leads the way

Africa’s largest airline, Ethiopian Airlines, has done well through the pandemic. With a combination of cargo and repatriation flights, the airline has covered all its fixed costs and says it has turned a small profit for the fiscal year that ended in July, its CEO told Bloomberg. The exact figure is not yet known.
 
Acha kuongea utopolo sekta ya watalii na madini ungekuza kwa makalio yako? Bila ndege unaanzaje kujisifia kuwa kitovu cha utalii?
 
Mashirika ya uma hayapo kutengeneza faida za moja kwa moja bali yapo kuhudumia wananchi na kuchochea kukua kwa uchumi.
Bila ndege unaanzaje kujisifia kuwa kitovu cha utalii? Sekta za madini ma biashara zinanufaika na uwepo wa ndege.Hata kama shirika halipati faida ila ndege ni muhimu.Ziongezwe zaidi.
 
Reactions: SMU
Mashirika ya uma hayapo kutengeneza faida za moja kwa moja bali yapo kuhudumia wananchi na kuchochea kukua kwa uchumi.
Bila ndege unaanzaje kujisifia kuwa kitovu cha utalii? Sekta za madini na biashara zinanufaika na uwepo wa ndege.Hata kama shirika halipati faida ila ndege ni muhimu.Faida zake si za moja kwa moja katika shirika la ndege.Ninashauri ziongezwe ndege nyingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…