johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #181
Huyo ni Ufipa mwenzio bwashee!Mmiliki wa nchi?
We Mataga unajielewa kweli?
Nyie watu kweli mlikuwa misukule ya Mwendazake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Ufipa mwenzio bwashee!Mmiliki wa nchi?
We Mataga unajielewa kweli?
Nyie watu kweli mlikuwa misukule ya Mwendazake.
Acha kuongea utopolo sekta ya watalii na madini ungekuza kwa makalio yako? Bila ndege unaanzaje kujisifia kuwa kitovu cha utalii?
Halafu anatokea mpumbavu mmoja sijui anaitwa Kibajaji au yule shwaini mwingine anajulikana kwa jina la msukuma anataka kuleta hoja za mtaani huko kupingana na wasomi waliokaa darasani wakati yeye anachunga Ng'ombe huko poriniCAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake.
Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends
Uttoh amesema kwa uelewa wake ATCL haijawahi kulipa dividend kwa serikali, na kama kuna fedha ziligawiwa kwa serikali na ATCL hicho ni kitu kingine siyo dividend
CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?!
Source: ITV kipindi cha Kipima Joto
Tena aliongea huku amemkazia macho waziri Lukuvi!Ameungana na Askofu Dallu wakati wa mazishi ya askofu maluma kule njombe, naona alilisema hili kwa hisia kali kwamba "serikali inatoa huduma, sio biashara" akashukuru kwa "miundombinu mizuri" na kuomba "tusirudi tulikotoka" sikumwelewa haraka ila sasa naanza kumwelewa.
Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Kibajaji alikuwa kiongozi mkubwa Chadema kabla ya kuhamia CCM!Halafu anatokea mpumbavu mmoja sijui anaitwa Kibajaji au yule shwaini mwingine anajulikana kwa jina la msukuma anataka kuleta hoja za mtaani huko kupingana na wasomi waliokaa darasani wakati yeye anachunga Ng'ombe huko porini
Kunanjambo haujui,unapoongeza mishara kwa Pesa iliyopangwa kufanyia Bihashara ikiisha miaka inayofuta utatumia hela gani kuongeza mishahara?
Dah.....yaani Sh60bn kwa mwaka! Hivi shule moja ya msingi nzuri kabisa inaweza kugharimu kiasi gani kujenga? Hizi 60bn zinaweza kujenga shule ngapi?
Au:
Hizi 60bn zinaweza kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wangapi....kuanza mpaka kumaliza (say kozi za miaka 3)?
JPM bana......mwanzo alianza na gia za kubana matumizi....
Kuna jamaa juzi tunapiga soga akaniuliza: "hivi SMU katika hizi shughuli za mazishi ya JPM mbona walikuwa hawaoneshi nyumba ya JPM?" Sikumjibu.
Hiyo ni gross profitKwa hiyo zile bilioni 28 tulizotangaziwa na mmiliki wa nchi akisema ni faida ya ATCL haikusawa kweli?
Uttoh amesema wasiite dividend watafute jina chengine....maana kulipa dividend kama shirika lina hisa kwenye stock exchange kama DSE kuna wanahisa. Huwezi lipa dividend kama hujapata faida kwenye mahesabu yako ndio maana akashauri litafutwe jina chengine na ambayo kwangu kwa elimu ndogo ya uhasibu itakuwa ni moja ya matumizi yaani expenditure na sio faida wala dividend!Hapa mwamba kachemka kidogo
Tanapa ni shirika la umma
Tanesco ni shirika la umma
Dawasa ni shirika la umma
Yote hayo yanafanya biashara
Serikali ya wapii hiyo isiyotakiwa kufanya biasharaSerikali haitakiwi kufanya biashara bali wajibu wa Serikali kutoa huduma kwa wananchi. Biashara hufanywa na Sekta binafsi. Acha KUKURUPUKA na kuandika ujinga. Serikali ikishajiingiza kwenye biashara na sekta binafsi inafanya nini!? 😳😳
Nadhani we ndio unajiangusha, Kwanza hakuna sekta yogote ambayo budget yake ilipanda zaidi ya sekta ya ujenzi (Rudi uangalie utekelezaji wa budget Kwa kipindi chote cha miaka mitano ya JPM) issue ya inflation na deflation ni issue ya kisera ambayo inafanya automatically kusiwe na inflation au deflation na kamwe sio state organized kwamba hakuna inflation huku mtaani unaona inflation inapaa.BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?
Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?
So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way
Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya ambao hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
wewe jamaa huwa una matatizo ya akili kabisa fuatilia kabisa unachocoment mara nyingi unaonekana ni mtu mwenye uelewa mdogo sana na kama ulisoma basi wazazi wako walipoteza hela bure yaani ni full kilaza kwa kitaalamu tunasema you are mentally retardedKwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Serikali ya wapii hiyo isiyotakiwa kufanya biashara
Nchi hii ina vituko
Bak na Tindo hawana concepts yeyote juu ya uchumi na maendeleo utakesha mkuu na mbaya zaidi hawa taking Kujifunza , waulize nini maana ya elumu bure na impacts zake katika jamii? anaweza usiongeze mishahara uka chagua kutoa elimu bure maana yake mfanyakazi akipata pesa yake hachangii tena kwenye elimu inabaki kuwa yake mfukoni, naweza kukuongezea mshahara nikapandisha riba za mikopo, elimu ikawa ghari, huduma za jamii zikawa ghari na usione faida ya salary increments.Tatizo la hayati hakuwa mwongo...Mishahara iluongezqa kwakupunguza
1. Paye
2. Inflation
3. Deflation kwenye assets
4. Kupunguza riba za mikopo mf. CRDB ilipunguza riba kutoka 22% mpaka sasa 14% kwa service loans, Bank ya poster mortgage 8% dhidi ya Azania ambao walikuwa wanatoa kwa 18% ulitaka aongeze absolute figure?
Lakini njoo kwenye social services, bima ya afya kwamfano alitengeneza bima ya community nakuingiza watu wengi kwenye scheme, elimu bure ambayo ni nyongeza ya mshahara kwaambaye angelipia hiyo pesa kwa mtoto wake...Acheni uzwazwa tuweni honest kama JPM tusiishi kwakuridhisha watu huku wakiendelea kudidimia na sisi tukie delea kuneemeka huku institutions zikizidi kuwa weak...
Bak na Tindo hawana concepts yeyote juu ya uchumi na maendeleo utakesha mkuu na mbaya zaidi hawa taking Kujifunza , waulize nini maana ya elumu bure na impacts zake katika jamii? anaweza usiongeze mishahara uka chagua kutoa elimu bure maana yake mfanyakazi akipata pesa yake hachangii tena kwenye elimu inabaki kuwa yake mfukoni, naweza kukuongezea mshahara nikapandisha riba za mikopo, elimu ikawa ghari, huduma za jamii zikawa ghari na usione faida ya salary increments.
Gharama za maisha zilipanda kipindi Cha magufuli mfano mafuta ya kula, riba kwa mikopo ya chuo, sukari, dawa mswaki n.k au bado unaishi kwa baba huo unafuu mbona atukuuonaBAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?
Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?
So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way
Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya ambao hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
Gharama za maisha zimepanda sana kipindi Cha magufuli huo unafuu ni upi unaongeleaBak na Tindo hawana concepts yeyote juu ya uchumi na maendeleo utakesha mkuu na mbaya zaidi hawa taking Kujifunza , waulize nini maana ya elumu bure na impacts zake katika jamii? anaweza usiongeze mishahara uka chagua kutoa elimu bure maana yake mfanyakazi akipata pesa yake hachangii tena kwenye elimu inabaki kuwa yake mfukoni, naweza kukuongezea mshahara nikapandisha riba za mikopo, elimu ikawa ghari, huduma za jamii zikawa ghari na usione faida ya salary increments.
Kwanza tuelewe kwamba kuna tofauti ya ATC (Air Tanzania Corporation) ya enzi za mwalimu na ATCL (Air Tanzania Company Limited) hii ya Sasa hivi pamoja na kuwa ni public owned lakini ni biashara inayotakiwa kutengeneza faida. Kwahiyo yes lazima ilipe park fee na hizo tozo nyingine zote kama wanavhofanya Precision na wengine.kifupi Tanzania toka tupate uhuru hatujwahi kuwa na mchumi au statitician mhasibu CAG wengi Ni wakariri masomo tu wa CPA YA tanzania ni wajinga mno .Hawajui kuja financial analyisis ya shirika la umma linalomilikiwa asilimia mia moja na serikali na la private
NBAA FUTENI CPA inazalisha akina UTOH na PROFESSOR ASSAD NK hawajui kufanya analyisisis ya shirika linalomilikiwa asilimia 100 na serikali na la binafsi wanatumia vigezo vya shirika binafsi ku evaluate shirika linalomilikiwa hundred percent na serikali
ATCL MFANO VAT zote zinaenda serikalini, parking fees zote zinaenda serikalini, landing fees zote zinaenda serikalini, AIRPORT charges ZINGINE ZOTE nk zinaenda serikalini ambaye ni owner wa asilimia 100 wa ATC huwezi treat kama COST OF OPERATIONS hizo ni other income to the owner wa ATCL ambaye ni serikali kutreat kama expenditure si sahihi huyu UTOH mjinga tu ana CPA ya TANZANIA ambayo iko too low hata kama alipewa U CAG HANA AKILI yeye na PROFESSOR ASSAD akili hawana. Hawajui kufanya analyisis ya shirika la ndege private na ambalo asilimia mia 100 linamilikiwa na serikali
Mama SAMIA naomba CAG AJAYE tafuta mwenye ACCA sio CPA tafadhali kama Tanzania hawapo ajiri expertriate