CAG na waliojikopesha Sh41 bilioni NHIF


Palikuwa na uzi hapa:

Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Ukipigwa vita na aina ya kina Neuro
 
Wajinga wanakula aalfu wanakuja na mipango ya kijinga na raisi waziri na uongozi mzima upo tu unatupa vijembe kama tuko kwenye taarabu. Hii nchi yakijinga sana utetezi wenyewe wa hoja ni wakijinga huyo mama wa NHIF hajielewi anapingana na mahesabu kwa hoja za kijinga kweli
 
Kwa nini wasiende kukopa benk badala ya kukopa pesa za mfuko wa matibabu??
 
Kwanza sheria inayounda huo mfuko inaruhusu kukopeshana??
 
Hivi hata majeshi yetu hayasikii aibu kuwalinda wapumbavu kama hawa.

Kwa hali ilivyo ingekuwa nchi nyingine basi bila shaka tungesikia Generally mmoja kachukua nchi. hii ni too much sasa.
 
Umeamua kuwaruka siyo. Zingatia hoja zetu hawa jamaa ni bomba la kutuibia wala si vinginevyo:

View attachment 2591309
Kama unaamini hivyo, ifunge uone wananchi watakavyo kuua😂😂😂. Halafu nyie mlishaambiwa zile nihoja zakujibu ila Watz bana. Hivyo vichwa vya habari bwana, halafu ingia ndani usome😂😂😂. Sema ni bomba la kuiba😂😂😂 ila ukijua maana ya audit tutakuwa sawa😂😂😂.
 
Naomba kufahamu taasis, idara, shirika au kampuni ya serikali ambayo wafanyakazi wake siyo wabadhirifu?
 

Mkuu CAG kaliona hili la gharama za kufuru:

Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Nani anapinga uwepo wa NHIF? Tunapinga kuibiwa nanyi kupitia mfuko huu.

Kwa nini NHIF angalau haihoji gharama hizi za kufuru za matibabu kama tunavyo hoji sisi au CAG?

Kwamba wewe una dogosha aliliita rais Stupid?

"Mimi ndiye rais ninajua Kila kitu." -- Jiwe.
 
Chief unashida na mimi😂😂😂, nimekukosea kitu😂😂😂

Shida na wewe itokee wapi? Miye mbona niko katika kuzitambua tu jitihada zako za dhati zisizotetereka kwenye kutetea mifumo yetu ya afya ikiwamo NHIF, ndugu?
 
Kwani ni NHIF pekee yake ndio inajikopesha? Au mna agenda binafsi, nendeni Kwingine pia muone mikopo inavyotolewa na mikopo hiyo mbona ina riba? Au hilo hamlioni?
 
Watu waliotayar kulipa wakikopeshwa hawakopeshwi wanakopesha ambao hawana mpango wa kulipa
Tuacheni upambe kila taasisi inazo taratibu zake za ufanyaji kazi mikopo ni sehemu ya motisha
 
Mbna NHIF walishatolea ufafanuzi hilo suala, acheni Serikali ifanye kazi yake. Mwananchi nao ni changamoto
 
Kwani ni NHIF pekee yake ndio inajikopesha? Au mna agenda binafsi, nendeni Kwingine pia muone mikopo inavyotolewa na mikopo hiyo mbona ina riba? Au hilo hamlioni?
Two wrongs don't make a right
 
changamoto za mfumo wa bima ya afya nchini hasa wa umma haziwezi kupata suluhu kwa kubadilisha bodi au menejiment Au wafanyakazi bila kujua kiini cha tatizo.

Mfumo wa bima ya afya lazima uboreshwe kwa kuweka sera au sheria ambayo itaweka mazingira kwa kila mtanzania kushiriki kuchangia bima ya afya.

Duniani kote hakuna mfumo wa bima ya afya unaoweza ku survive kwa kutegemea wanachama wanaojiunga kwa hiari wakiwa tayari ni wagonjwa.

Suluhu ni kuwa na sheria ya bima ya afya kwa wote au kuondoa makundi yote ya hiari na mfuko kubaki na watumishi wa Umma tu. Kuhusu mikopo, NHIF ni taasisi ya umma inayoendeshwa bila kutegemea ruzuku kutoja Serikalini , mikopo inayotolewa kwa wafanyakzi wake ni sehemu ya motisha kwa wafanyakazi kama ilivyo kwa watumishi wengine wa taasisi za umma na binafsi. Mapato yatokanayo na riba ya mikopo hiyo ya wafanyakazi huwezesha mfuko kupata mapato ya ziada na kujiendesha na kuboresha huduma kwa wanufaika wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…