KadamaKadama
Member
- Oct 9, 2013
- 86
- 65
October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)Huyu jamaa ana CPA kweli? Alafu mbona elimu yake ina viraka vingi sana?
Kuna mdau amesema jamaa anayo lkn so far kwny CV yake sijaiona na ni mara chache sana Auditor/Accountant kusahau kuweka kwny CV yake suala la CPA mkuu.Hata mimi nimejiuliza maana kwenye CV yake ya kuunga unga sijaona CPA.
Kuanzia sasa hv ndege na madini yatakaguliwa....!!Tumekwisha kabisa sasa. Nasikia Kichere ndie CAG mpya.
God have mercy on our country.
Ccm mmepata mtu wa kuficha ufisadi wenu.We ni mbwekaji hujui Kitu
Sheria inasema CAG ataajiriwa kwa mkataba wa miaka mitano
Huo umri mpelekee uliobaki mpelekee baba ako akamwajiri
Hii umetoa wapi? Embu tupe source maana ccm ni wataalam wa kupika data.October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450]
November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania [CPA (T)]
Kwan hujui C.A.G muda wake umeishaKweli nimeamini sasa Magufuli ni Fisadi. Utawala huu ukiwa mtu makini unapigwa bench ila mazezeta wanapewa vyeo.
October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450]
November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania [CPA (T)]
CURRICULUM VITAEHii umetoa wapi? Embu tupe source maana ccm ni wataalam wa kupika data.
Alafu inakuaje unampa majukum makubwa hivyo wakati tuliambiwa ameshindwa kukusanya kodi na akatumbuliwa?
Nadhani wewe ndio coward thousand times.Prof Assad Mungu akubariki sana kazi uliyofanya wenye akili wameiona.
Eti Kichere CAG...such a coward person...nchi hii ni kituko sana...
CHADEMA wataangua Vilio kumlilia Prof. Assad
Kamwambie mbowe maneno hayo kama hujawekewa sumuBila