CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Huyu jamaa ana CPA kweli? Alafu mbona elimu yake ina viraka vingi sana?
October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450]

November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania [CPA (T)]
 
Hata mimi nimejiuliza maana kwenye CV yake ya kuunga unga sijaona CPA.
Kuna mdau amesema jamaa anayo lkn so far kwny CV yake sijaiona na ni mara chache sana Auditor/Accountant kusahau kuweka kwny CV yake suala la CPA mkuu.

Au sijui CV yake last time imekua updated lini.
 
Assad ni moja wa wasomi wachache ambao wametendea haki elimu zao. Wengine ni machokoraaa tu wameokotwa majalalani.
 
Kutokana na CV ya bwana Kichere inavyoonekana hapo juu inaonyesha CAG wetu mpya hana CPA (T) au sifa nyingine inayolinga na hiyo hivyo kulingana na sheria za NBAA bodi ya wahasibu nchini hana sifa za kuwa CAG,itabidi bodi ya wahasibu itoe ufafanuzi zaidi.
 
HIVI UNAWEZAJE KUWA C.A.G BILA YA KUWA NA C.P.A , AND ACCREDITED BY NBAA ??

AU MIMI NAOTA MCHANA HUU .???
 
October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450]

November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania [CPA (T)]
Hii umetoa wapi? Embu tupe source maana ccm ni wataalam wa kupika data.

Alafu inakuaje unampa majukum makubwa hivyo wakati tuliambiwa ameshindwa kukusanya kodi na akatumbuliwa?
 
Ok kwa hiyo kasahau kuweka kwenye CV yake? Labda haja update recently, sbb kuna watu wengine CV ana update mara chache sana
 
Hii umetoa wapi? Embu tupe source maana ccm ni wataalam wa kupika data.

Alafu inakuaje unampa majukum makubwa hivyo wakati tuliambiwa ameshindwa kukusanya kodi na akatumbuliwa?
CURRICULUM VITAE

NAME : Charles Kichere
DATE OF BIRTH : 26th March 1970

ADDRESS : P.O. Box 11364

ACADEMIC QUALIFICATIONS

December 2008: University of Dar es Salaam

Awarded Master of Business Administration (MBA – Finance).

June 2004: African Renaissance Centre – Mbabane, Kingdom of Swaziland.
Awarded Diploma in Financial Management of Donor Funded Projects.

November 1997: University of Dar Es Salaam
Awarded Bachelor of Commerce (B.com – Accounting) Upper Second Class with Honours.

May 1992: Shinyanga Commercial Institute (Shycom)
Awarded Advanced Certificate of Secondary Education Examinations – Division 1.

November 1989: Tambaza Secondary School
Awarded Certificate of Secondary Education Examinations – Division 1

PROFESSIONAL QUALIFICATIONS AND MEMBERSHIP

October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)

Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450]

November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA)
Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania [CPA (T)]
 
Hongera kwa aliyeteuliwa na pia aliyemaliza muda wake
 
Prof Assad Mungu akubariki sana kazi uliyofanya wenye akili wameiona.
Eti Kichere CAG...such a coward person...nchi hii ni kituko sana...
Nadhani wewe ndio coward thousand times.
 
Nadhani ni muda muafaka wa kukagua manunuzi ya ndege na namana mashirika kama ATCL na NHIF yanavyoendeshwa, bila kusahau bandari, Tanesco, Tanroads, halmashauri...
 
Kutokana na CV ya bwana Kichere inavyoonekana hapo juu inaonyesha CAG wetu mpya hana CPA (T) au sifa nyingine inayolinga na hiyo hivyo kulingana na sheria za NBAA bodi ya wahasibu nchini hana sifa za kuwa CAG,itabidi bodi ya wahasibu itoe ufafanuzi zaidi.
CPA Charles Kichere
46488DA0-9DE5-4FDD-8FF1-A6BC96A863A7.jpeg

Back
Top Bottom